Mapenzi

Mapenzi

Nayda

New Member
Joined
Mar 30, 2014
Posts
4
Reaction score
1
Hivi leo hii mtu kama anakupenda siku tatu hamja wasiliana anakwambie bize hakupendi kuna njia nyingi tu hata bila kuonana na ukatambua unapendwa tafuta anae kupenda sio kukuzingua.
 
Pole sana naona amekukwaza sana, wote tulipitia hayo
 
hivi leo hii mtu kama anakupenda siku tatu hamja wasiliana anakwambie bize hakupendi kuna njia nyingi tu hata bila kuonana na ukatambua unapendwa tafuta anae kupenda sio kukuzingua

peleka jukwaa la mahaba! pia utulie uandike vema! huu ni ubabaishaji mtupu
 
mtafutie bwana humu humu MMU akupunguze stress
 
Ukisikia pwaaa.....
Inawezekana hisia japokuwa mawasiliano muhimu ila jiulize anafanya kazi gan?? Ni kawaida yake or kabadilika??? Ana tatizo???
 
Msianze mapenzi mkiwa fomu wani Bii, unaona matokeo yake unaandika kama umekatwa kichwa.
 
News Alert: Mapenzi. Early Monday morning.

Ukiona hivyo kuna mtu kalizwa.

Hata jicho hajafunga.
 
Pole sana, ni mambo ya kawaida. jaribu kuipa nafasi busara, usiipe nafasi hasira na wivu vikakutawala.
 
Halafu wewe wiki ya pili sasa hupigi simu

Kwanini lakini?

Au unataka nife kifo cha mende?

We ngoja tu!
we huwezi kufa kifo cha mende hicho wanakufa watoto
kipo kingine cha kiutu uzima lol...nitakubip mida ya lunch time
 
Hivi leo hii mtu kama anakupenda siku tatu hamja wasiliana anakwambie bize hakupendi kuna njia nyingi tu hata bila kuonana na ukatambua unapendwa tafuta anae kupenda sio kukuzingua.

eeehh pole sana kwa jinsi ulivyoandika inaoneka umechanganyikiwa mazima
achana nae ameshakuletea kizunguzungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom