Hili limekaaje..??
Upande wa mabinti, wako na mipango yao ya maisha, hawayapi mahusiano uzito kama ilivyokua miaka ya nyuma kwani wamesoma wenyewe kwa juhudi zao na familia zao kuangaika kutoa...
Wadau, naomba ushauri wenu nduguzanguni. Kuna mwanadada mmoja ambaye kwa sasa aliolewa lakini tatizo lake huwa kila mara ananielezea shida za bwanake,anaweza niambia bwanangu jana alilewa na...
kuna mwanamama anajisikia vibaya kwani 'mshindo' haujui ukoje....anasema yeye hajawahi kufika huko wanakofika wengine...Ameolewa, ana watoto wa wawili na yupo katika ndoa takribani miaka kumi...
Nina rafiki yangu mmoja ambae tulisoma pamoja ana mahusiano na msichana mmoja takribani mwaka mmoja sasa, juzi aliamua kwenda kumtambulisha mchumba wake huyo kwa wazazi wake baada ya kumtabulisha...
Mabibi na Mabwana le ninalo swali naomba mnipe majibu ya yakini. Hivi kwenye tendo la kujamiiana ni nani starring kati na mtu mume na mtu mke? Yaani ni nani anayepiga game mpaka mwisho na...
Woman shows off her huge hips that are the biggest in the world
(Scroll down for video) A woman who owns the title to the worlds biggest hips, likes her assets.
Mikel Ruffinelli, 39, of...
Habari wadau wote wa Jukwaa hili pendwa, leo naomba tudadili hili jambo kwa maana limekua malalamiko kwenye baadhi ya ndoa.
Baadhi ya wanandoa wamekuwa wakilalamika kuwa wanasengenywa na wenza...
Naomba uwe rafiki yangu haijalishi
umri,kabila,dini,jinsia wala mahali ulipo
mimi nitaanza kukupa wewe faida ya
urafiki wetu ni check whats up 0759 83 93 10.
KARIBU SANA
Key words: akili, elimu, afya, care and concern
Nimelazimika kuandika hii habari kufuatia kukamatwa kwa vyakula vingi feki hivi karibuni, jijini Dar, vikiwemo energy drinks, maziwa ya watoto...
Kilichotokea kwa Okwi na mke wangu hivyo hivyo, Kwao wanamtafuta hapatika na mimi namtafuta hapatikani ila ananiumiza kwa vile kaacha nguo zake nyingi kwangu, vyeti vya shule na chuo, na now...
Matukio mengi yanayotokea siku hizi yanatia kichefuchefu zaidi ya kinyaa. Katika mizunguko yangu ya hivi karibuni katika shughuli zangu, nilifikia guest moja ya kawaida iliyokidhi kiwango...
Ni sauti iliyokuwa inasikika kutoka nyumba ya kulala wageni iliyo kuwa karibu na njia maeneo flani ya Kizuiani Mbagala!
Kumbe bana kuna njemba ilienda na mtoto wa kike kuvunja amri ya sita...
Mimi ni kijana nimemaliza chuo kikuu fani ya sociology miaka 2 iliyopita, jinsia ni mwanaume, sijabahatika kupata ajira bado. Nafafuta mwanamke atakaye kuwa mchumba na baadae mke mwenye vigezo...
Kwenye maeneo yetu ya kazi wafanyakazi hujitolea saana kufanya kazi nimewahi kuongea na mzee mmoja katika kampuni fulani nini siri ya yeye kudumu kwa mda mrefu hapo kazini alijibu kufanya kazi kwa...
"Haina tabibu
ndwele ya mapenzi"
ndugu wana mmu hayo si maneno yangu, ni malenga wetu hao wanaelezea jinsi mahaba yalivyo na thamani ya pekee.
"Hakukuwa
kupendana, bila
kuheshimiana"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.