Urafiki wa faida huu hapa!

Urafiki wa faida huu hapa!

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
Naomba uwe rafiki yangu haijalishi
umri,kabila,dini,jinsia wala mahali ulipo
mimi nitaanza kukupa wewe faida ya
urafiki wetu ni check whats up 0759 83 93 10.

KARIBU SANA
 
Naomba uwe rafiki yangu haijalishi
umri,kabila,dini,jinsia wala mahali ulipo
mimi nitaanza kukupa wewe faida ya
urafiki wetu ni check whats up 0759 83 93 10.

KARIBU SANA

Matendo Andrew umejitahidi sana lakini huku ni tofauti na Facebook, instagram whatsApp badoo na mitandao mingine ya jinsi hiyo ,usikimbilie kupost pitia nyuzi kadhaa kwanza ulielewe jukwaa
 
Matendo Andrew umejitahidi sana lakini huku ni tofauti na Facebook, instagram whatsApp badoo ni mitandao mingine ya jinsi hiyo ,usikimbilie kupost pitia nyuzi kadhaa kwanza ulielewe jukwaa

Huo mwongozo mzuri
 
unadandia treller kwa mbele eeeh

taratibu
 
Kuna tatizo LA uelewa ktk Jamii yet
Naweza kua mim au we we hapa nimeona mahusiano, mapenzi, & urafiki.
Jamani Mimi nahitaji marafiki kupitia hapa coZ kipengele hcho kipo. So LAz IMA niandike ambavyo watu wanaandika.
Watu Ni rasilimali kubwa sana kuelekea mafanikio. ASANTE
 
Hivi unajua kwamba unaweza kua hujui lakini ukawa
hujui kama hujui? namchukia saana anae tumia uzoefu
wake kuwepo mahali fulan mda mrefu ndio inakua sababu
ya kusema anajua kila kitu, huo uzamani saana!!
sio ulimwengu huu wa google mtu ana weza kuchat kingeleza
kumbe anatumia google tafsiri. mtu anaweza ku oparate
mashine kumbe kasoma youtube! KUEPO MDA MWINGI SIO KUJUA MENGI
ASANTE
 
Back
Top Bottom