natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke na mama wa watoto wangu about age asizidi 25 yrs mambo mengine sijali cha msingi ni upendo wa dhati tu. atakaye guswa anicheki hapa 0687062616 au...
Nimefanya utafiti kuhusu mahusiano ya watu mbalimbali katika jamii ya kitanzania, nikakuta kwamba watu wengi wamekuwa na mahusiano ya kimapenzi zaidi na watu wa makabila yao. Kitu cha kwanza...
Namsikiliza dr mmoja kupitia radio free africa kipindi cha sayansi ya mimea na tiba kutoka the fathery sanitarium clinic(sp error???) anadai simu zina punguza nguvu za kiume kwa % kubwa na kama...
Jamaa yangu wa karibu amepanga maeneo ya Mbezi, na mwenye nyumba anaishi nyumba ya pembeni.
Jana kaja kwangu anataka ushauri, nikamwambia asubiri niongee na wazee then nitamjibu !
Ni hivi, huyo...
Natumai wote mpo poa!!
Naomba kila mtu ataje jina la mtu anaempenda na kumkubali sana humu jukwaani na ukishatajwa basi jua wewe ndie shabiki na chaguo la aliekutaja nakuanzia hapo sio mbaya...
Ladies, do you feel unexcited by your partner? Soon there
might be a pill for that. A scientific research company is
currently seeking FDA approval for a new drug which is
being touted as the...
Kwenye mahusiano ya kimapenzi bwana kuna mambo mob sana
kweli tukue tuyaone upo kwenye mahusiano na mtu na mnakwenda
sawa kwa shida na raha kuna wakati anakukosea kosa lenye sura
ya kutaka...
Nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja.Tumekaa nae kama miaka 4 bila kufanya nae tendo la ndoa kipindi hicho bado tunasoma.Baadhi ya marafiki wanasema kuwa ana HIV.Lakini naogopa kumwambia...
I great you all
Dini hizi kubwa mbili kupitia vitabu vyake vile, zinasisitiza kujisitiri kwa mwanamke, na hasa wakristo ambao wamekua na tafsiri tofauti juu ya kitabu chao. Tena unakuta mdada...
Wanaume wafupi mkoani Morogoro wapanga kuandamana kudai haki ya wao kupendwa na wanawake maana imeonekana kundi hili linaongoza kwa kudharauliwa hasa na jinsia ya kike.
Mwenyekiti wa kamati ya...
Katika pitapita zangu kwenye blogs za hapa bongo nimekutana na kisa hiki.
Jamaa ni muumini mzuri wa ile blog.. sasa katika pitapita zake kakutana na picha za "utata" anazohisi ni za wife wake...
Habarini za mapumziko ya mwisho wa wiki, kama tittle ilivyo ni kuwa nina mafua makali tokea jana asubuhi. Nimeshatumia dawa lakini sina ahueni, ila naamini maombi yenu pamoja na ya kwangu...
Ladies and gentlemen. .....
Hahahhaha ..ngoja nianze kwa kucheka baadae ndio nione huruma.... ,kuna mashost zangu 2 bwana jana wameingia chaka.. katika harakati za kuanza weekend mashost zangu...
Habari wanaMMU, burudika na wimbo huo.
"What Are Words"
Anywhere you are, I am near
Anywhere you go, I'll be there
Anytime you whisper my name, you'll see
Where every single promise I'll keep...
Polisi mjini Nairobi wanachunguza kisa cha mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu anayedaiwa kumuua mwenzake kwa kumdunga kisu.
Tukio hilo lilifanyika siku ya Jumatano mtaani Komarock viungani mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.