Mke wangu kapotea kama Okwi...

Mke wangu kapotea kama Okwi...

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,318
Reaction score
845
Kilichotokea kwa Okwi na mke wangu hivyo hivyo, Kwao wanamtafuta hapatika na mimi namtafuta hapatikani ila ananiumiza kwa vile kaacha nguo zake nyingi kwangu, vyeti vya shule na chuo, na now nimepata demu mwenye sifa kubwa zaidi yake but kumsaliti roho inauma na huyu mpya kasema atatoroka kazini aje Mbeya hata wiki mbili za Pasaka na anataka kufikia kwangu, na kwangu nakaa na waswahili napata wakati mgumu sana, sielewi nichukue maamuzi gani licha ya kuwa na uhakika kuwa yuko kwa mwanaume anagegedwa(historia iko hivyo) na huyu mpya anataka na ndoa kabisa.

USHAURI bandugu
 
Wewe lazima tu utakuwa mtoto...kama sio kiumri basi ni kiakili
 
Hebu nyoosha maelezo,aliyepotea ni mkeo nawe badala ya kumtafuta ukatafuta bint mkali zaidi yake ambaye anataka pasaka muwe kwako ila wewe unaogopa kumsaliti mkeo(????),na chumba chako kimejaa vitu vya mkeo na unakoishi ni uswahilini!!!!!
Wewe hujitambui na hao wanawake wawili unaowachanganya wote nawasikitikia!!!
 
hivi unaiamini hii hadithi?

Form Five au vyuo mnaenda lini? Khaaaa watoto nyie mna mambo!!!
 
Gonga nine nine nine Mura waambie umepoterewa na muke, ereza mara ya mwisho arivaa gauni ra rangi gani muraa...na sauti yake inafananaje na sura aliyoondoka nayo mara ya mwisho! OVA!
 
Yuko na okwi kigamboni resort kama unaelekea mji mwema
 
Back
Top Bottom