WaliNazi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 851
- 96
Hili limekaaje..??
Upande wa mabinti, wako na mipango yao ya maisha, hawayapi mahusiano uzito kama ilivyokua miaka ya nyuma kwani wamesoma wenyewe kwa juhudi zao na familia zao kuangaika kutoa fees,hivyo hawako tayari sana kuwa subjected kwa wanaume kwani wanajiamini wanaweza fanya wenyewe.
Shida ni upweke unapowazidi na wengi kuanza tamani watoto na umri unaenda na hawataki wekwa ndani.
Feelings of insecurity ndo zinaanzia hapo, azae na nani ilhali hana trust na wanaume sababu tu kaelimu kake kanampa kiburi, hawataki kuzitupa 'as*s zao to the broke a#ss dudes' kama asemavyo lara 1.
Upande wa wanaume, upande huu ndo majanga zaidi,
tatizo linaanzia kwenye kipato,,
elimu pia changamoto,unamtokea binti kumbe anamalizia desertation yake ya masters,wewe na ka dip kako sijui ka finance, presure inapanda zaidi unapogonga 30,, bado hakuna mahali umetupia mbegu, nyumba huna, gari huna,hutaki kuoa std 7,, wasomi hawana muda na wewe, wanaume wengi wakifika hapa wanakimbilia vyuoni, wanavipachika mimba vidada vya watu ati ili ajiwekee usalama, binti kumbe shida yake ilikua mtoto, mwisho wa siku unajikuta umezalisha tu, ndoa hamna.
Jamani yapo mengi kwa sisi vijana, yani uhakika wa future nzuri ya ndoa hamna, both girls and boys wisho wa stress hizi lini?
Which side is more insecure and suffers the most?
Tunatokaje hapa?
Majanga... nawaza tu.
Majibu sina..