Nimechoshwa na mapozi

Nimechoshwa na mapozi

dogojanja 87

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
882
Reaction score
213
Kinadada wanaoweka matangazo ya kutaka waume kila nikiwafata PM wanaleta pozi,sasa najitokeza rasmi,sichagui dini,rangi,umri wala kabila.

Mdada anayetafuta mwanaume seriously aniPM.mi ni mnene kiasi,mweupe,nina 1 pack (kitambi) kidogo tu cha kutunzia heshima mjini,mchangamfu hakika ukiwa na mimi utakua mwenye furaha masaa yote japo kipato changu sio kikubwa sana (middle class) .

sifa nyingine kedekede ntamtumia picha ataekua serious af atawasimulia.

Bila kupoteza muda nawasubiri PM
 
Jitahid hata uwe na 4 pack jamani
 
Back
Top Bottom