Naziona dalili za kumpa talaka mke wangu mpendwa

Naziona dalili za kumpa talaka mke wangu mpendwa

holygrail

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,303
Reaction score
598
"Haina tabibu
ndwele ya mapenzi"

ndugu wana mmu hayo si maneno yangu, ni malenga wetu hao wanaelezea jinsi mahaba yalivyo na thamani ya pekee.

"Hakukuwa
kupendana, bila
kuheshimiana"

"swadakta" hapo juu ndo penye kiini cha mshawasho wangu wa kuamua kuliumiza dole gumba langu kuandika maneno haya mujarabu kwa watu shupavu wa mmu.

Ndugu zangu mwenzenu yamenikuta makubwa. Mimi nimeoa nikiwa mtu mzima sana. Tofauti ya umri na mke wangu ni miaka kumi na kenda. Miezi sita ya kwanza ndoa yetu ilikuwa ya furaha sana na hakika nilionja raha majinuni ya ndoa. Baada ya hapo ni mateso makubwa sana.

". Hasikii la
mwadhini wala la
mtia maji msikitini"

Mke wangu kaanzisha tabia chafu sana na isiyo mpendeza MUNGU na walimwengu pia. Ilikuwa ni mwezi wa saba wa ndoa yetu usiku wa maanani ndipo kiini cha dukuduku langu lilipoanza. Baada ya kufanya tendo la ndoa kwa raundi ya kwanza ndipo mke wangu mpendwa aliponiomba "twende chooni" akimaanisha nimwingilie kinyume na maumbile.

Kwakweli ilibidi nifanye ili kumridhisha na kumuonya kwamba iwe ni siku ile pekee. Kuanzia hapo mke wangu kaweka msimamo kuwa hanipi haki yangu mpaka nimpe "kiu yake"

Nafikiria kumpa taraka mke wangu ukizingatia bado hatujazaa.

Naombeni ushauri wana mmu wapendwa.

". Heri kufa macho
kuliko moyo"

qoetes master.
 
naomba vijana wawe waungwana kwenye kutoa maoni kama watu wazima kwani malenga wanasema;

". . Kushinda
kupendwa, kupenda
kushindwa"
 
Ndugu we ulishamzoesha unataka ushauri wann endeleeni mkumbuke pepo hamuioni.
 
Illikuwaje ukamkubalia kumfanyia kitu kama hicho mkeo?!
 
Sa nyingine sie watu wazima tunajitafutia matatizo wenyewe!mwanamke mmepishana zaidi ya miaka kumi unadhani mtaendana ktk matakwa yenu? A decade mzee si mchezo!mapigo tofauti kabisa!huyo mkeo hovyo kabisa!
 
Endelea ku-quote tu mzee.
Kumfundisha umemfundisha wewe, kumla umemla wewe ma makusudi kabisa. Bila aibu unatulalamikia kakufundishe yeye na utu uzima wako wote huo. Huo utu uzima sana wako faida yake ni nini sasa? Karibia nitapike haka kakifungua kinywa nlikokunywa eti ''Kwakweli ilibidi nifanye ili kumridhisha na kumuonya kwamba iwe ni siku ile pekee'' kwa hio akikuambia ana hamu umkate mguu mmoja utakata tu ili mradi umrizishe sio??? kama hutakata iweje utuambie yeye ndio kakusababisha wakati umesema ULIAMUA UMRIDHISHE? ACHA KUMUONEA BINTI WA WATU.

Umenisikitisha sana bwana Mtu mzima sana.

"Haina tabibu
Ndugu zangu mwenzenu yamenikuta makubwa. Mimi nimeoa nikiwa mtu mzima sana. Tofauti ya umri na mke wangu ni miaka kumi na kenda. Miezi sita ya kwanza ndoa yetu ilikuwa ya furaha sana na hakika nilionja raha majinuni ya ndoa. Baada ya hapo ni mateso makubwa sana.

mke wangu kaanzisha tabia chafu sana na isiyo mpendeza MUNGU na walimwengu pia. Ilikuwa ni mwezi wa saba wa ndoa yetu usiku wa maanani ndipo kiini cha dukuduku langu lilipoanza. Baada ya kufanya tendo la ndoa kwa raundi ya kwanza ndipo mke wangu mpendwa aliponiomba "twende chooni" akimaanisha nimwingilie kinyume na maumbile.

Kwakweli ilibidi nifanye ili kumridhisha na kumuonya kwamba iwe ni siku ile pekee. Kuanzia hapo mke wangu kaweka msimamo kuwa hanipi haki yangu mpaka nimpe "kiu yake"

qoetes master.
 
Illikuwaje ukamkubalia kumfanyia kitu kama hicho mkeo?!

nilifanya nae siku moja mkuu na nikamuonya kuwa hatutafanya tena. Ila si unajua malenga wanasema:

"Mahaba ni tamu,
mahaba ni sumu."
 
nilifanya nae siku moja mkuu na nikamuonya kuwa hatutafanya tena. Ila si unajua malenga wanasema:

"Mahaba ni tamu,
mahaba ni sumu."

Basi endelea kama ulivyoanza na usisahau kila ukimaliza kukwambia "mwisho leo hatutafanya tena"

"Mtoto umleavyo
Ndivyo akuavyo"
 
Sa nyingine sie watu wazima tunajitafutia matatizo wenyewe!mwanamke mmepishana zaidi ya miaka kumi unadhani mtaendana ktk matakwa yenu? A decade mzee si mchezo!mapigo tofauti kabisa!huyo mkeo hovyo kabisa!
"maji yakishamwagika hayazoleki"

pia mapenzi hayana rangi wala umri na ndio maana malenga wanasisitiza zaidi wanaposema:

"Mapenzi ya
kiswibu wawili ndiyo
mapenzi"
 
1. Hukufanya uchunguzi wa kina kabla ya kumwoa mkeo
2. Inaonekana na ww unapenda mchezo huo wa back door maana usingethubutu kufanya nae eti kukata kiu
3. Uamuzi upo mikononi mwako kwa kuwa nawe yaonekana kuwa addicted na huko nyuma
4. Kuna uwezekano mkakosa mtoto mkiendekeza huo mchezo mchaafu uliolaaniwa both seems to be shogaazz
 
asante mkuu kwa ushauri wako mujarabu! Mimi siyo muumini wa "ufirauni" na kosa nalojutia ni kwanini niliruhusu ibilisi anitawale. Ama kweli malenga walikuwa sahihi waliposema:

"Mwenye ishiki
kalewa"
 
quotes master
Acha kutuzuga wewe ni mzee wa kinyeleo; mke huyo huyo akiomba akutie kidole cha uani pia utamkubalia; kama ulikula kinyeleo shingo upande ni wazi utakubali kutiwa kidole shingo upande!
 
Last edited by a moderator:
Kwa dini yetu ya Kiisilamu ukimuingilia mkeo kinyume na maumbile huwa ameachika kisheria. Hata mukiendelea kuishi pamoja huwa munaishi tu kinyume cha sheria.
 
mimi nafikiri ningepewa ushauri wa namna ya kutatua tatizo hili badala ya kunilaumu kwani hata malenga wanasema:

"Mwenye
kupenda ni jura, wala
hana maarifa."
 
Back
Top Bottom