Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu!! Leo nimeamua kuandika kilichopo katika ndoto yangu katika swala zima la mahusiano.. Kila mtu amekuwa na ndoto au aina fulani hiv ya mtu ambaye angependa kuwa nawe katika...
6 Reactions
75 Replies
8K Views
1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la. 2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna. 3.Kama viatu vina...
17 Reactions
177 Replies
19K Views
Ujumbe wa 2014 jamani. Bado tunawapenda sana na kuwategemea katika ujenzi wa familia zenu na taifa letu kwa ujumla.
0 Reactions
215 Replies
20K Views
Wana JF nataka kufunga ndoa ya kiserikali, je kuna utaratibu upi wa kufuata, ofisi gani zinahusika na ufungishaji ndoa na gharama za cheti ni kiasi gani na kuna gharama zingine za lazima, nipo...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Mmoja kati ya wanasayansi maarufu hapa duniani amegundua kuwa watu wanene wanapata raha zaidi katika tendo la ndoa ukilinganisha na watu wembamba. Mwanasayansi huyo aitwaye Dr. James Watson...
4 Reactions
27 Replies
30K Views
Kwa wanaume: Ukimkamata mkeo "Live" anachepuka utafanyaje? Una-deal na huyo mwanaume anaechepuka nae au uta-deal na mkeo na kumuacha huyo mwanaume? Na kwanini uchukue uamuzi mmoja wapo? Kwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji kupata access ya jukwaa tajwa hapo juu...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Je ni sawa kumweleza demu wako wa zamani kwamba umeoa? Nilikuwa na mwanamke mmoja nilizaa nae, ila sikuwahi kumwambi kama nitamuoa, ila yeye alikuwa na matarajio ya kuolewa na mimi, nikapata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari!! Dada zangu someni hapa chini yamkini mkajifunza kitu pia akina kaka someni ili muwasaidie dada zetu katika haya; 1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The saying is; God gives us what we deserve. It's a popular saying that people like to use but I'm curious about it. Does He, really? So if you have a bad husband, bad friends, family members...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jamaa amaeoa takribani miaka miwili iliyopita,kwa bahati wote ni wafanyakazi sekta binafsi...wamebahatika kupata mtoto mmoja sasa.... sasa basi ,jamaa anakitoyota chake kila asubuhi anakiwasha...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Nguli wa fasihi Tanzania alishawahi kuongelea mapenzi bora katika kitabu chake kiitwacho Mapenzi bora. Nguli huyu SHABAN ROBERT alihimiza sana swala la mapenzi bora hii ni kwa sababu mapenzi bora...
2 Reactions
16 Replies
7K Views
Ni takribani miezi minne tangu nimehamia hapa ninapo ishi sasa, kiukweli mtaa huu sikuwa naufahamu kabla hata watu wa mtaa huu sikupata kuwajua kabla.... TATIZO... sasa nilikuwa nina kawaida ya...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari za mchana huu wadau wa JF? Haswa jukwaa letu pendwa la MMU. Kwa furaha isiyokuwa na kifani jamani ambayo napenda kushare na nyie, leo Mwenyezi Mungu kanijaalia mtoto wa kiume mwenye afya...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
SINA VIGEZO VINGI SANA ZAIDi tu AWE MZURI WA SURA,UMBO NA TABIA .THEN NICHECK.under 23yrs
0 Reactions
14 Replies
2K Views
watu wengi wakiona hawawezi kupiga game sawasawa anakimbilia kumeza madawa ya kuongeza nguvu za kiume akiamini nguvu zimepungua.... binafsi imewahi kunitokea several times hii hali,ila baada ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima zenu wakuu.Mimi kunatatizo limenitokea na lina muda mrefu. Maisha yangu ni yakawaida lakini najikuta mara nyingi najisikia upweke sana na furaha inakuwa adimu na jaribu njia mbalimbali...
1 Reactions
75 Replies
18K Views
Ni mpita njia kesho atapata mwingine wakati wewe ungalipo, angalia asikuumize kwakuwa hatokuwa nawe milele ni mwizi wa mapenzi leo yuko na yule kesho yuko na cheupe keshokutwa yuko na jimama ni...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hili limekaaje..?? Upande wa mabinti, wako na mipango yao ya maisha, hawayapi mahusiano uzito kama ilivyokua miaka ya nyuma kwani wamesoma wenyewe kwa juhudi zao na familia zao kuangaika kutoa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau, naomba ushauri wenu nduguzanguni. Kuna mwanadada mmoja ambaye kwa sasa aliolewa lakini tatizo lake huwa kila mara ananielezea shida za bwanake,anaweza niambia bwanangu jana alilewa na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom