Huzuni: ameolewa, ni miaka 10 sasa lakini hajawahi kufika kileleni

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
kuna mwanamama anajisikia vibaya kwani 'mshindo' haujui ukoje....anasema yeye hajawahi kufika huko wanakofika wengine...Ameolewa, ana watoto wa wawili na yupo katika ndoa takribani miaka kumi sasa, kitu kinachommnyima raha ni kutofika 'kileleni'...Je, afanyeje ili na yeye aweze kufika huko?
 
mke wa mtu wa miaka kumi mlikuwa mnaongea yapi ndio akakwambia masahibu yake??? duh@ wanaJF kweli mpo! ama ni mkeo??? ama ni hawara yako?
 
Pape mbona kila siku unakuja na mada za ajabux2.hebu tuondolee kiwingu hapa jaribu kuleta mada zitakazo saidia taifa.
 
usiweke komenti zenye hasira namna hii , utarogwa?? juzi niliweka kakomenti kambovu mbaya, jamaa waliniroga. nilipoteza mpaka memori za paswedi ya jf. baada ya maombi makali, nikaikumbuka!!
 
Mzee mbona unakua makali ivyo? Ishu kama hizi zipo na mara nyingi hufanya ndoa kuvunjika!! Maana asilimia kubwa ya kina dada huwa wanakiri mambo kama haya! So sina uhakika kidiscuss hii ishu hapa ni sawa au ipelekwe kule private!! Kuna mbinu nyingi "Kwa kusaidia kuna Movie/Kitabu kinaitwa Kama sutra "The science of Love" kinaelezea mambo muhimu ya kufanya kuwezesha wote wawili muenjoy na kufikia Orgasm!
 
kuna mwanamama anajisikia vibaya kwani 'mshindo' haujui ukoje....anasema yeye hajawahi kufika huko wanakofika wengine...Ameolewa, ana watoto wa wawili na yupo katika ndoa takribani miaka kumi sasa, kitu kinachommnyima raha ni kutofika 'kileleni'...Je, afanyeje ili na yeye aweze kufika huko?

Mh, huyo mama anapretend tu ili apate bao la nje, hana chochote... a faithful woman hatoi siri za ndani
 
usiweke komenti zenye hasira namna hii , utarogwa?? juzi niliweka kakomenti kambovu mbaya, jamaa waliniroga. nilipoteza mpaka memori za paswedi ya jf. baada ya maombi makali, nikaikumbuka!!

MMMM Klorokwin wacha waniroge... mm thread zingine bana we acha tu!!
 
Ni maelewano kati yake na bwanake...Mwambie apunguze stress kichwani...nadhani maisha yake ni magumu kiaina!...Na tiba ya jambo hili mara nyingi ni kwa wote wawili kuhudhuria counselling kama mazungumzo ya chumbani yatakuwa yameshindikana...Lakini kuwaambia mashoga ni upumbavu...Ona sasa hadi limekuja huku!
 
Kama huyo mama hajawahi kufika, amejuaje kuna kufika?
Au ni mzoefu wa kwenda nje ya ndoa?
Huyu anababaisha tu.
 
Hapoooooooooo... wenzake si wanamuhadithia wanavyofika (fikishwa)???? sasa yeye she's curious!!!
 
Anakuzuga tu Mwambie aliwe tigo mara bao nne atafika huko anapotaka kufika
 
Hapoooooooooo... wenzake si wanamuhadithia wanavyofika (fikishwa)???? sasa yeye she's curious!!!

unajua Shishi saa nyingine wanawake wanadanganyana wao kwa wao, utakuta wanaomwabia ivo hawajaolewa na wala hawajui kitu kama kufika kileleni ila wanataka kumharibia mwenzao tu!
 
kuna mwanamama anajisikia vibaya kwani 'mshindo' haujui ukoje....anasema yeye hajawahi kufika huko wanakofika wengine...Ameolewa, ana watoto wa wawili na yupo katika ndoa takribani miaka kumi sasa, kitu kinachommnyima raha ni kutofika 'kileleni'...Je, afanyeje ili na yeye aweze kufika huko?

Kwanza anajuaje kwamba kuna kituo kiko kileleni kama sio fundi huyo? Pili, yeye mwenyewe anafanya jitihada gani ili afike huko anakotaka kufika? Tatu anakijuaje kilele kilivyo? Labda concept ya kilele anayoambiwa na watu ni ya aina yake. Aende kwa binamu yake atamshika mkono hadi kileleni.

Leka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom