Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

hello, jaman mwnzenu natafuta mchumb(mke) mwarabu au mhindi(20-23yrs), km unahuska ntafute kw no. 0773429134
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Jamaa mmoja nchini Kenya ameamua kujichimbia kaburi na kujizika kisa tu Mapenzi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekutana watu wakibishania hili tangazo la Baki njia kuu mmoja anamuuliza mimi ni train au semi trailer...mimi vitz kokote napita! Nikajuiliza inamana kwao wanaona ujanja kuchepka?Eti wadau ipi...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Niko Msiba mmoja wapendwa huku tabata Yaani mwanamle mmoja kadondoka na ngoma ametembea na wanaume si chini ya mia mtaani Mbaya wamama wanalilia watoto wao wa shule bibie akipenda anavuta Mungu...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mimi siko tayari mke wangu alinde sungusungu siku zamu yake ikifika,wewe mdada uko tayari kulinda? Akiingia nyoka ndani ya nyumba au jambazi wewe bidada nikikuambia leo zamu yako kumdhibiti...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo nimewahi kurudi home hali tete kumfuko nimekaa sebuleni naangalia Tv zuku life , wanaonyesha tamaduni mbalimbali . Theme iliyonivutia ni nchini ghana watengenezaji majeneza! Kuna majeneza ya...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Kuna maneno mengi nayasikia huwa sielewi vizuri, Wengine wanasema. Mwanaume anayewahi kumaliza ndie mzuri, Mara mwenye ndefu ndie mzuri, Ati mwenye nene ndie mzuri, oooh mwenye fupi nitamu...
0 Reactions
170 Replies
17K Views
Natafuta mchumba/mke wa kuoa Awe anajitambua tafadhali ni serious. Elimu angalau form six Kabila lolote na dini yoyote. Aliyetayari aje PM.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau wa MMU. Mimi si mdau mkubwa,lakini naomba nitoe mchango wangu mdogo juu ya mijadala ya humu na hata mambo yanayotokea duniani juu ya wanawake. Kwanza naomba mijadala ya humu isiwe...
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Basi bwana nimeenda kwa wigi langu la ukweee kujipumzisha kidogo. Wifi langu zungu la roho, hata ujiweke kwake mwaka mzima anaona poa tu si mtu wa kuhesabu mambo madogo. Naona maisha kidogo...
12 Reactions
104 Replies
9K Views
Wakuu naomba munisaidie kuhusu hili suala je kuna umuhimu au kuna ulazima wowote wa mume pindi atokapo kazini au safarini kula chakula cha nyumbani hata kama ameshiba au hajisiki kula? Hapa...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Nimeachana rasmi na mwanamke wangu wa kiislamu week tatu zilizoisha, kampata muislam mwenzake na mimi nimeshapata mkristu mwenzangu, sasa wiki ya mwisho alikuja napofanyia kazi nimekaa nae siku...
0 Reactions
81 Replies
7K Views
Salamu kwenu wanajamvi, Nakumbuka tarehe 1 April mwaka 2011 nilipotengana na msichana niliempenda sababu ya hii sikukuu ya wajinga. Story iko hivi wakati nasoma chuo mkoani Arusha niliwahi kuwa...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
unakubaliana na mimi ??? utofauti katika maisha yetu ya kila siku kati ya wanawake na wanaume na jinsi tunavyoya prioritize mambo yetu!!,nini maoni yako? wapi nimezidisha na wapi...
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Stress/Kuumizana smtime zinasaidia kuongeza chachu ya mapenzi, Mtu katendwa na msamaha anaomba yeye kama ndo mkosaji, hii ni thamani.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi... mliobobea kwenye maswala ya love nahitaji msaada wenu katika hili. Nampenda mpenzi wangu na namuhitaji ila kimsingi usafi wake wa kwenye papuchi ni F. Je nawezaje kumwambia bila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta marafiki toka popote Jinsia yeyote hata ukiwa umetengwa kiasi gani na jamii kwa tabia yako Chati na mimi whatsup +255 759 839 310.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasichana ---------- vibaya kumbukeni unayemtaka nae yuko namtu anamfukuzia na anateswa kama unavyoteseka.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
SOMO – WAPI NAKOSEA? Nikiwa mtoto niilifurahia maisha yangu ya utoto kama watoto wengine. Nilipokuja kupata akili za kipindi cha utoto, nilianza kupata maumivu kama mtoto kutokana na kutokuwepo...
5 Reactions
90 Replies
9K Views
Back
Top Bottom