Habari zenu wana MMU!,I hope mko ok!. Nionavyo mimi michepuko hasa kwa wanandoa husababishwa na 1.MSULULU WA WAPENZI KABLA YA NDOA.Hii ni kwa wote ke na me,kuwa na msululu wa...
Haiwezekani hata kidogo mtu akawa ni mtu wa kumpuuza Mungu muumba wake kwa kinywa na matendo yake halafu wakati huo huo awe na moyo kukujali wewe(sanasana atajivika mavazi ya kondoo).Epuka...
Mtoto jinsia ya kike kwa majina Boke au Hawa Mohammed ameokotwa wilaya ya Bunda mjini Tanzania. Huyo mtoto anayekadiriwa kuwa na kati ya miaka 10-13 amedai kwao ni MIGORI KENYA.
Nawasalimu kwa Upendo wanaMMU.
Kuna hili jambo naomba unishauri maana sina uhakika na ninayoyafanya niyafanye vipi.
Nina binti ambaye yupo sekondari, boarding school.
Wadada wa kazi ambao...
Ni mke wa rafiki yangu, kwa jinsi nilivyo karibu na jamaa, tunaheshimiana.
Kama kawaida huwa tunatania mara kwa mara, utani wa kawaida.
Kuna hizi sms za vichekesho ambazo baadhi yetu tumekuwa...
Habari zenu wandugu! Nahisi kama mko poa vile though im not so sure! This is 4rm my own experience juu ya jinsi nilivyoambatishwa na yeye aliye "ubavu wangu".Ni habari ndefu...
Nimekuwa najiuliza sana kwanini siku hiziWanawake wamekuwa Vichechebalaa....Hawatulii...Sio kama zamani...Nanimepata jibu sasa....Sio kosa lao walaNI KOSA LETU WANAUMEHawatulii kwa sababu...
Inakuwaje mke wa mtu, anajilengesha kwa mwanaume aliye na mke. Kisha mwanamke anamwekea sharti jamaa kuwa lakini yeye (mwanamke) eti hapendi kushea wakati yeye mwenyewe ana mume.....!!!
..
..
...
Nimeagiza serengeti ya baridi ina maana nikilewa hii chui itanipeka home
ETI donati inauzwa sh 200 ina shimo katikati ina maana ntarudishiwa chenchi?
tumeachana kampa number yangu basha wake...
Matatizo mbali mbali ya kimaisha tunayo kabiliana nayo sisi, pia wanawake kwa namna moja au nyingine nao wanakabiliana nayo pia. Tunajisahau pale tunapokuwa kwenye mahusiano huwa tunawapush sana...
Habari zenu wana MMU
As a new member nataraji ushirikiano wenu wa mawazo zaidi.
Hii Thread yangu haiitaji ushauri zaid ni kujifunza kupitia makosa yatokanayo.
Nilikutana na kijana mtandaoni,kwa...
Inasemekana kuwa rangi hii uongeza hamu ya kufanya mapenzi maradufu...sasa kwa wale amabao huwa mnatandika shuka nyeusi, kijani penegne hamu ya kufanya mapenzi huwa inapungua bcoz ya rang...
Mdogo wangu anamiaka 32 anataka kuoa nimemwambia asubiri mpaka miaka 40 .kwa sababu miaka40 mwanaume ndio anajua anataka nini na hapo mara nyingi waliooa mapema wanafile for divorce na miaka 40...
This is a question for the ladies out there this thing has become a very big issue now a days! WILL YOU MARRY FOR LOVE OR MONEY? Can you share if you are able to do so n give your reasons if you have.
Sijui nianze kwa kusema ni wivu au ndiyo mambo ya upendo na kujali, nakosa cha kuanza nacho ila leo inabidi tu tuambizane huwa mnatuwazia nini..
Kuna katabia fulani hii kwa kiasi kikubwa wanako...
1- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari
2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati
kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo...
Ahlan wasah'lan wanajamvi,
Hongereni kwa starehe kwa wale mliobahatika kuwa mapumziko.
Na kwa wenzangu na mimi ambao hatuna "weekend" wala sikukuu basi tuendelee kuchapa kazi.
Leo wakati...
Haya ni maneno ya mfanyakazi mwenzangu akilalamika mumewe anataka kumgegeda kila siku anasema imekuwa ni tabia mpaka na yeye amezoe ikitokea siku mbili kajifanya bizy kutompa basi humo ndani mume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.