Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana mmu natumai mmesherehekea sikukuu ya pasaka vizuri ni muda sasa sijawa active humu ndani nimewamiss miss chagga Heaven on Earth Eiyer mwekundu na wengineo
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi! Leo katika pitapita zangu ni kawa napiga story na jamaa yangu akadai kuwa eti HAWEZI KUCHATI NA DEMU BILA KUMTONGOZA either iwe humu Jf au fb, whatsup nk. Swali kwetu...
0 Reactions
105 Replies
10K Views
Mimi nimekuja kweni kwa wale wajane waliofiwa na waume zao njooni Pm tupeane mikakati ya maisha ila narudia ni kwa wajane tu
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Habari za asubuhi, mnamo tarehe 8 niliandika thread ya kutaka kusaidiwa ada ya mtihani. Wapo walionipa maneno makali yenye kuumiza na pia wapo walionishauri vyema na hata hivyo wapo pia walioahidi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nawasalimu! Mrejesho kuhusu post yangu ya jana, ndg yangu amekubali yaishe, amenyoosha mikono juu kwa shem, taratibu za talaka zinaandaliwa na Jumamosi shem atapewa talaka yake! Nashukuru kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadauz mambo yenu jamani na huu mchakato wa kupata katiba mpya unavyosumbua akili zetu .. Rafiki yangu anatatizo linalomyima raha na usikungizi hata kutamani kuikimbia ndoa yake.. yeye ni mtu...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Mie ni kijana wa miaka ishirini therathini sas, natafuta mwanamke mtu mzima tufanye maisha, ninaishi mwanza na nina elimu nzuri na pia kazi . yoyote mwenye sifa hizo tuwasiliane kupitia namba...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Huyu mpenzi hata kuosha sijaosha kanipiga mzinga ambao hata akimuomba baba yake mzazi aliyemzaa hawezi kuumpa. Hivi nyinyi wadada kuna chuo cha kupiga mizinga huwa mnajiunga nacho? Kuamkatalia...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nategemea kutoka nje ya nchi, kama kuna mrembo yeyote aliefunga chuo anataka kula bata likizo ani PM. Awe na passport na mrembo, mweupe au maji ya kunde
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jumamosi nikasema Benteke wacha niache mkokoteni wangu ofisini niende kigamboni nikapumzike kidogo maana foleni zinachosha, huyooo mpaka posta, nikarukia UDA, lilikua limejaa ,niliingilia mlango...
1 Reactions
80 Replies
6K Views
Hili swali nalitupia zaidi kwa wanandoa na wale wasio na ndoa lakini wamekubaliana kuishi na kuanzisha familia Sasa twende .. mwanzoni mwa mahusiano raha ni nyingi kiasi kwamba unaweza hisi...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za saa hii wana JF, Hebu tushirikishane hili jambo kwa wale walio single,unawezaje kujiepusha na vishawishi kipindi ambacho uko alone! sina maelezo mengi but naamini nimeeleweka.
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Habarini Leo ni siku maalum ya kukumbuka ambayo hupatikana kwa nadra sana kwa mwanadamu ambaye amezaliwa na mwanamke, siku ambayo Mungu umuandaa mtu akiwa tumboni mwa mama yake na kuumumba. na...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Jamani kama ukepnda wwe penda lakini dunia ya sasa hakuna kupendana.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii ni ngumu sana katika jitihada za kumatch naye hasa kimawazo, na kimatendo saa zingine mpaka unajihisi labda anakusoma au anakuchora vile, unakuta vitu unavyofanya wewe yeye (msichana/mwanamke)...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Nukuu kutoka kwa anti Nasra Shangingi Mstaafu kama anavyojiita mwenyewe. Nashukuru kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo ambayo hawakuyapata hapo awali, siyo wote wamepitia mafunzo ya...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Tukio hili lilinitokea hivi karibuni. Nakumbuka siku moja katikati ya mwaka jana tulikutanika pale Leo Tupo Hapa Pub. Tulikuwa wana JF kadhaa na ilikuwa ni mkutaniko wa kawaida tu kwa ajili ya...
12 Reactions
58 Replies
4K Views
"This marriage/relationship is broken...... Fix it".....,,,,,, je utafanyaje"....... Ukimwaga Kama mwanaume/ mwanamama......
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu marafiki, Leo ningependelea tuzungumzie kuhusu ulezi wa watoto wetu,taifa lijalo na majukumu yetu kama wazazi.Mzazi ni mfano wa kuigwa kwa mtoto.Kile anachofanya mzazi kiwe kizuri au...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, nimeingia kwenye mahusiano na msichana niliiyempenda sana kwa karibu miaka 3 kuelekea 4. Lakini nilikuja kugundua msichana wangu ananisaliti kwa kutembea na...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Back
Top Bottom