Kwanini aogope?

Kwanini aogope?

Linyo

Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
83
Reaction score
12
Kuna mdada simuelewi kabisa nikikutana naye ananiogopa akikutana na rafiki zangu anawatuma wanisalimie wataalamu wa haya mambo inakuaje apo?
 
Kuna mdada simuelewi kabisa nikikutana naye ananiogopa akikutana na rafiki zangu anawatuma wanisalimie wataalamu wa haya mambo inakuaje apo?

Jiamini siku ukikutana naye tena msalimu, kisha mshike mkono alafu mwulize. Atakwambia sababu ni nini, pia ana jambo moyoni juu yako mkuu
 
Mungu ananjia nyingi za kuwasaidia wanadamu wasiangamie mojawapo ni hiyo kuogopwa ,.....hebu epuka zinaa jiponye nafsi yako hautakuja juta."....heri wamchao Bwana"
 
ana kuonea aibu huyo....ukiona hivo anakupenda ila anashindwa kukwambia....
 
Mapenzi Ya Ujanani Hayo! Huyo Bd Akizoea Atakuwa Anakuja Mwenyewe Macho Makavu Kaa Kokoto
 
Back
Top Bottom