kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Matatizo mbali mbali ya kimaisha tunayo kabiliana nayo sisi, pia wanawake kwa namna moja au nyingine nao wanakabiliana nayo pia. Tunajisahau pale tunapokuwa kwenye mahusiano huwa tunawapush sana pale mwanamke anapo kuwa aja respond.
Wanawake mara nyingi nao wanapitia katika personal issues ambazo azilingani na mwanaume. Mwanamke pia mda mwingine anakuwa hayupo katika good mood.
Usimpushi, tabasamu na usiwe na hasira au kumtukana kwa namna yeyote ile.