Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,841
Habari zenu wana MMU
As a new member nataraji ushirikiano wenu wa mawazo zaidi.
Hii Thread yangu haiitaji ushauri zaid ni kujifunza kupitia makosa yatokanayo.
Nilikutana na kijana mtandaoni,kwa kuchart sikujenga mawazo ya mapenzi zaidi ya urafiki zaidi.Ndani ya mwezi mmoja kijana akajidai kuonyesha kuvutiwa namimi,ilinipa wakati mgumu kidogo kwasababu nilisha sikia sana habari za mtandao na mapenzi.Kadiri tulivyokuwa tunachart nikajikuta nimeanza kuvutiwa nae pia..
Tukapanga kuonana soon akirudi toka safari,na first date iwe sehem ambayo ni risk kukutwa sijui nimeeleweka( kwenye gari,beach)
It was Easter, nilikutana nae kwa mara ya kwanza.he was with black coloured car, tukasalimiana,na kadharika kimaongezi zaidi.
akakatiza kona na kona tukatua nje ya pub moja...kissing n.k sasa kinachoniumiza mpaka kuandika hili ni kosa moja nililifanya napo nilikuja jutia baada ya....I sexed with him bila kondom...sijui ni shetani sijui ilikuwaje nikajikuta kimoja kimepigwa tayari...Tangu pale akili yangu ilivurugika kabisaaaaaa ndani ya moyo najiuliza kwanini? imekuaje mtu simjui nimesex.Sometime najipa moyo coz was safe sex nadhani wataalam wa hii mnanielewa.
Tangu pale yule mwanaume akawa kimya kwanza nilishamsoma kwa haraka haraka sio mwanaume wa kueleweka,anavyoact ni tofauti na alivyo..hiyo haijaniumiza kichwa kabisa kwasababu mapenzi kwangu si kitu kizito sanaa,nimeona kawaida tu.. kinachoniumiza ni kisex kavu.nilijipima soon nilipotoka pale,but nasubiri miezi ije nichek kama yaliyimo yamo...
Napenda tu kuwapa ushauri wenzangu,najua mko wengi kama mimi niliekosea japo hapa mtajionyesha mko smart, I dont care..
Kuweni makini na sehemu tunazokutana na watu yani first meeting,na akili angalia isizidiwe maana kama mimi hata mtu akiniuliza ilikuwaje mpk nikasex siwezi sema..
Thank you...