Maswali ya kizushi

Maswali ya kizushi

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
48
Nimeagiza serengeti ya baridi ina maana nikilewa hii chui itanipeka home
ETI donati inauzwa sh 200 ina shimo katikati ina maana ntarudishiwa chenchi?
tumeachana kampa number yangu basha wake mpya ili niumie si itakuwa sio wazima hawa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom