Mambo. .Long time!
Natumai ur all fine.
Well I may sound funny..ila hili suala nashindwa nilichukulieje kwa jinsi flow ya mambo inavyokwenda Duniani kwa sasa hivi.
I know it's totally wrong but...
Wakubwa heshima kwenu!
Kama mnakumbuka nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu kuolewa na mpenzi wangu ambaye ni muslim na mie ni mkristo!
Nimefikiria sana nimeona ni bora niachane nae sababu baba...
Wakuu,
Unapokuwa umeachana na mpenzi wako halafu siku akikuona umempata mwingine,au akakuona unakatiza na mtu ambaye hata si mpenzi wako halafu anakupa hongera kwa kumpata mpenzi mpya huwa...
Habari wana MMU,
Wakuu hebu naombeni mawazo namna ya kupunguza kuwa na wivu, seriously nimechoka na nahisi hili ni tatizo kubwa si kwangu tu bali hata kwa mpenz wangu. Hajawah kuniambia moja kwa...
Habari za hapa mjengoni wadau!
Husika na kichwa cha habari juu hapo!
Hilo swali limekua likinitatiza sana!
Kwa vile kuna waswahili hapa, najua watasema "hata kusex na mtu usiemuoa tu awe...
Wana MMU mambo vipi?
Kuna nyakati nilipata mkasa mmoja wa kusikitisha sana.Ni kuhusu mrembo mmoja ambaye nilifukuzia takribani miezi sita bila majibu ya kueleweka lakini siku ya siku alikuja...
Habari wana JF,
,Natumaini mu~wazima,naomba kuuliza,hivi wanaume wengine mmerogwa au mna tatizo gani!?.Maishani mwangu niliwahi kumpenda mwanaume mmoja tu kwa kipindi cha takribani miaka minne...
Nilimpenda sana huyu binti ila siku isiyo na jina alinimwaga tena kwa mbwembwe. Niliumia sana! almanusura nichanganyikiwe!
Sasa jana mchana nikasema nikimbie Mlimani City kwenda kununua kitu...
Nimekuwa katika hali ya kumfanyia uchunguzi binti mmoja ambaye kwa mwonekano wa nje kanivutia sana.
Kwa ufupi binti kakamilika katika kila idara, pili ni mtoto ambaye anapenda sana kuji keep buzy...
Muda mwema utawale kwako!
Katika Maisha yangu nimekutana na mambo mbalimbali na hili likiwa moja wapo.
Kwa kufanya huduma za Injili maeneo mbalimbali hapa nchini. Imenipa fursa ya kuyajua...
Wana MMU huu ni kama muendelezo wa thread moja hivi iiyoanzishwa na mwana mmu mmojawapo Bujibuji hasa akiwa kalenga swali lake kwa wanaume.Thread ile ilinivutia kwani ni mambo ambayo yapo katika...
Kila kukicha utasikia fulani katendwa mara hivi na vile yani vagalanti patashita vilio haviishi kila siku.
Kuna jambo ambalo lina wagharimu wengi mnapoingia katika mahusiano, mnajenga matalajio...
1. Nini unataka ktk maisha yako.
Wengi wa vijana hujiingiza kwenye ndoa bila hata kuwa na idea ya kile anachokitaka maishani, hii ni mbaya sana kwani anaishi ilimradi liende.
2. Nini unataka...
Nimekuwa nikijadiliana na wanaume wenzangu as well marafiki zangu wa jinsia ya kike kuhusu Wivu.
Katika matokeo nikabaini mambo mawili. La kwanza, wanawake wengi wao wanaamini mwanaume akiwa na...
wadau mnazungumzia vipi kuhusiana na hizi kinga(mipira/condoms) ni kweli zinapunguza maambukizi ya VVU, au ndo kampeni ya kula vi"jero jero'" vyetu tuu???
Pamoja na mazuri mengi yaliyoelezwa katika ziara ya Rais Obama nchini .. lakini binafsi nimependa jinsi inavyoonyesha wanavyopendana na Mkewe Michelle pamoja na watoto wao Malia na Sasha...
Kama unatafuta mchumba vigezo na asilimia zake ziwe hivi. Uzuri uwe 60% Tabia 35% mambo mengine kama elimu, n.k 5%. Sababu kuu ni kuwa 60% za uzuri maana ndio chanzo kikuu cha kusisimua mapenzi...
I recently complained of lower back pain, my wife and I went to a nearby hospital,, who recommended for a massage to the region. When the lady that was to massage me wanted to start, my wife...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.