Mtoto ameokotwa

Mtoto ameokotwa

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Mtoto jinsia ya kike kwa majina Boke au Hawa Mohammed ameokotwa wilaya ya Bunda mjini Tanzania. Huyo mtoto anayekadiriwa kuwa na kati ya miaka 10-13 amedai kwao ni MIGORI KENYA.
 
Mrudisheni Kenya haraka..
 
Huyo mtoto nami nimemuona anasema yeye ni mkurya halafu ni maji ya kunde.
 
Back
Top Bottom