Habari wadau!
fahamuni haya ninyi mnaoyatafuta mapenzi.
Usifuate mkumbo,kuwa fulani ana mpenzi mie sina,hivyo ntafanya kila njia ili nami niwe naye.
Hapa mtakua mnafanya makosa.Kabla ya...
Askari wa jadi maarufu kama sungusungu wa mtaa wa Mwatulole kata ya Kalangalala mjini hapa wanadaiwa kumdhalilisha na kumfanya ukatili mwanamke mmoja kwa kumkamata na kumcharaza viboko kwa...
Habari za saa hizi,
Kuna kitu kimenijia leo katika fikra zangu kwanini ni vigumu sana kwa mwanaume kuomba samahani,wengine hata wajue makosa ni yao hawakiri wakaomba samahani.Nakosa majibu...
Wandugu za miaka,
Nimerejea katika jukwaa hili baada ya kukaa mbali kwa muda nikifanya utafiti namna ya kumfanya mwanamke atulizane katika uhusiano. Niseme wazi tu muda mrefu nimekuwa nikisoma...
Namasteeeee!
Kuna ile dhana ya kijana jitunze usikurupukie mamb, jipange, utajutia baadae. tulia dada/kaka hadi baadae. basi unakuta mtu tight a.ss, no man/woman is good enough for them, they are...
Habari zenu wana MMU.,
Mapenzi ya siku hizi yamebadilika sana tofauti na zamani ambapo siku izi kupotezeana kuko njenje tu wala hakuhitaji gharama yoyote ile,hivyo napenda kushea na nyinyi ni...
Ndivyo ilivyo siku zote, kupenda sio kazi, kazi ipo kuendeleza upendo udumu kwa yule umpendaye, kabla ya kupenda ni bora kutathimini gharama zote zisizo epukika katika kupenda/mapenzi, wengi wetu...
Kumbe Alex Kajumulo ni mwanzilishi wa taasisi ya kupigania haki za mashoga Afrika! Huyu hawezi kanyaga Uganda.. Sasa sijui na yeye ni mmojawao?
Ingia kwenye linki hapo chini uone.
Za tangu jana wadau,
Baada ya kufukuzwa kazi jana na mke wangu kunishauri kwenda kwa Mganga wa kienyeji ilinibidi nifanye hivyo kwani nafaham fika nisingekuja kupata kazi tena kama ilivyokuwa...
Wanawake wa siku hizi ni hatari tupu.
Jana nimenuniwa mwenzenu.
Kisa eti alikuwa busy na sikumsaidia.Cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na shughuli mbili;
1. Kuosha sufuria 3, sahani 2, bakuli 1...
Ni mrembo wa haja mwenye shepu tamanifu anapendelea kujivinjari mikocheni, kinondoni sinza na mbezi hajakaa kama changu ila shida yake ni moja ukiondoka naye kwenda kufanya dhambi...
Mnamo siku ya Jumatatu historia iliwekwa katika kanisa la Our Lady huko Presidio Francisco jimboni California nchini Marekani.
Mtu mmoja aitwaye Paul Horner pichani mwenye umri wa miaka 35 akiwa...
Sikuizi Bwana Kuna Vimsemo Vya Malavidavi Au Mapenzi Vimeibuka Na Kushika Kasi,ni Rahisi Kusikia Kijana Eti Anasema MAHABA NIUE, MAHABA NIPIGE SHOTI NITETEMEKE Je Wewe Ushasikia Misemo Gani Ya...
1. Build trust
2. Be honest
3. Be faithful
4. Be considerate
5. Respect each other
6. Become best friends
7. Be proud of one another
8. Be there for one another
9. Bear each other's burden
10...
Ndugu wana jf, hapa napenda kuwashirikisha njia za kutoa vitambi kabisa/kutopata kitambi. unaweza fanya mojawapo au zaidi kati ya haya
1.Uwe na mikopo zaidi ya mmoja katika benki tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.