Wanawake wengine .......

damn

JF-Expert Member
Feb 22, 2010
582
81
Inakuwaje mke wa mtu, anajilengesha kwa mwanaume aliye na mke. Kisha mwanamke anamwekea sharti jamaa kuwa lakini yeye (mwanamke) eti hapendi kushea wakati yeye mwenyewe ana mume.....!!!
..
..
..
..

Kweli watu mnapenda ngono. Sikutarajia comments nyingi kiasi hiki. teheheheheheheh...LoL!
 
Inakuwaje mume wa mtu, anajilengesha kwa mwanamke aliye na mume. Kisha mwanamme anamwekea sharti mwanamke kuwa lakini yeye (mwanamme) eti hapendi kushea ilhali yeye mwenyewe ana mke.....!!!

vice versa is the name of the game!!

tamaa... Na umaharage ya mbeya wa mwanamke
 
Inakuwaje mke wa mtu, anajilengesha kwa mwanaume aliye na mke. Kisha mwanamke anamwekea sharti jamaa kuwa lakini yeye (mwanamke) eti hapendi kushea ilhali yeye mwenyewe ana mume.....!!!

Majanga hayo labda huyo mwanamke hajielewi
 
Back
Top Bottom