Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Ni mke wa rafiki yangu, kwa jinsi nilivyo karibu na jamaa, tunaheshimiana.

Kama kawaida huwa tunatania mara kwa mara, utani wa kawaida.

Kuna hizi sms za vichekesho ambazo baadhi yetu tumekuwa tukitumiana.Wiki iliyopita niliona sms imeingia kwenye simu yangu, nikasoma, ilikuwa ni ya vichekesho, Mwandishi wa sms hiyo liandika:

"Baba na wanae wanachinja beberu la mbuzi, baba akaondoa "p.u..bu".za beberu, akaweka pembeni, mara mbwa akaja akachukua zile "pu..bu". Watoto wakamuona wakaanza kumfukuza wakisema kwa sauti kubwa...weeee mbwaa acha "p.u..bu". za baba!!!! akauliza, Je, ungekuwa wewe ndio baba ungesemaje?

Moyoni niliwaza nani huyu amenitumia sms hii? nilifanya hivyo kwa kuwa ilikuja kwa namba tu bila ya jina la mtumaji. Ikanilaazimu kuuliza, nikaandika . I see, imetulia, lakini nani mwenzangu? nikajibuwa:

"We shem kumbe umepoteza namba yangu? haya bwana, lakini mimi ni mkeo ..."S" (akataja jina). Kwa kweli sikutegemea,ujumbe ule ukatoka kwa mwanamke unaemheshimu kama huyo shemeji yangu. nikamjibu tu "duh, sorry, nimepitiwa tu, tupo pamoja.....

Toka hapo akaanza kunitumia sms nyingi nyingi, mara ananisalimu mara za vichekesho mbalimbali. Kwa kuhofia pekupeku za ma mamsapu wangu kwenye simu, sms zote anazotuma za hovyo hivyo nimekua nafuta.

Leo amenitumia ambayo nimeshindwa kabisa kumwelewa, hii ni ya matusi ya nguoni, sitaweza kuyaanika hapa kama yalivyo, lakini ameandika:

" Kwa mujibu wa Shirika la Kazi Duniani, mfanyakzi bora kwa mwaka 2012 ni (akataja kiungo cha uzaji cha mwanaume), akaendelea ....hakuna kiungo kivumili kama (.......... )kiungo hiki kina kaa katika mazingira magumu, yenye giza na joto, kina weza kutumika popote, kwnye harufu, matope.....lakini hakilipwi...........

kaandika mengiii lakini mwishoni kauliza, Je wewe mwenzangu unajali vipi (akataja) yako? unaonaje ukiipa zawadi siku ya leo kwa kuipatia (akataja kiungo cha uzazi cha kike) tofauti na iliyozoa?.

Nimesoma ujumbe huu zaidi ya mara 3 na Nimebaki mdomo wazi!! Duh, sikumtarajia!!,
 
Ni heri ukatafuta jinsi ya kumwambia aache kukutumia ujumbe wa aina hizo kama kweli hazikupendezi na kwa manufaa ya ndoa yako pia.
 
talk to her!! perhaps she wants dushe......!!
 
Shemejiiiiiiiiiiiiiii

Usipoangalia soon mtazima taa....
 
Mpe namba yangu awe ananitumia na mimi tufurahi wote.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Teh! Teh! Teh! hata mimi pia nataka nifurahi na nyie!! Ase jamaa naona anakaribishwa mechi za kirafiki!!
 
Mwambie aache kukutumia hizo sms ... kwanza, kwanini una namba ya shemeji yako?
Don't u ever keep your homeboy's squeeze's #
 
Mwambie aache kukutumia hizo sms ... kwanza, kwanini una namba ya shemeji yako?
Don't u ever keep your homeboy's squeeze's #

Kwani dhambi? Chapa dude hiyo, tena hizo za bure huwa tamu sana..... Yaaani anakuanza mwenyewe na text za maloveee? Kama ni mimi angeisha siku nyiiingi.
 
Kama kweli mna heshimiana na unataka heshima yenu hidumu punguza mizaha ya namna hiyo na shemeji yako ana jaribu kukutega!

Ni mke wa rafiki yangu, kwa jinsi nilivyo karibu na jamaa, tunaheshimiana.

Kama kawaida huwa tunatania mara kwa mara, utani wa kawaida.

Kuna hizi sms za vichekesho ambazo baadhi yetu tumekuwa tukitumiana.Wiki iliyopita niliona sms imeingia kwenye simu yangu, nikasoma, ilikuwa ni ya vichekesho, Mwandishi wa sms hiyo liandika:

"Baba na wanae wanachinja beberu la mbuzi, baba akaondoa "p.u..bu".za beberu, akaweka pembeni, mara mbwa akaja akachukua zile "pu..bu". Watoto wakamuona wakaanza kumfukuza wakisema kwa sauti kubwa...weeee mbwaa acha "p.u..bu". za baba!!!! akauliza, Je, ungekuwa wewe ndio baba ungesemaje???

Moyoni niliwaza nani huyu amenitumia sms hii? nilifanya hivyo kwa kuwa ilikuja kwa namba tu bila ya jina la mtumaji. Ikanilaazimu kuuliza, nikaandika . I see, imetulia, lakini nani mwenzangu? nikajibuwa:

"We shem kumbe umepoteza namba yangu? haya bwana, lakini mimi ni mkeo ..."S" (akataja jina). Kwa kweli sikutegemea,ujumbe ule ukatoka kwa mwanamke unaemheshimu kama huyo shemeji yangu. nikamjibu tu "duh, sorry, nimepitiwa tu, tupo pamoja.....

Toka hapo akaanza kunitumia sms nyingi nyingi, mara ananisalimu mara za vichekesho mbalimbali. Kwa kuhofia pekupeku za ma mamsapu wangu kwenye simu, sms zote anazotuma za hovyo hivyo nimekua nafuta.

Leo amenitumia ambayo nimeshindwa kabisa kumwelewa, hii ni ya matusi ya nguoni, sitaweza kuyaanika hapa kama yalivyo, lakini ameandika:

" Kwa mujibu wa Shirika la Kazi Duniani, mfanyakzi bora kwa mwaka 2012 ni (akataja kiungo cha uzaji cha mwanaume), akaendelea ....hakuna kiungo kivumili kama (.......... )kiungo hiki kina kaa katika mazingira magumu, yenye giza na joto, kina weza kutumika popote, kwnye harufu, matope.....lakini hakilipwi...........

kaandika mengiiiiii lakini mwishoni kauliza, Je wewe mwenzangu unajali vipi (akataja) yako? unaonaje ukiipa zawadi siku ya leo kwa kuipatia (akataja kiungo cha uzazi cha kike) tofauti na iliyozoa?.

Nimesoma ujumbe huu zaidi ya mara 3 na Nimebaki mdomo wazi!! Duh, sikumtarajia!!,
 
Kama humtamani ni simple sana kumwambia hupendi hizo sms.
 
Naona wewe unazipenda vinginevyo ungeshamwambia aache, au unamtamani shemeji
 
hakikisha hamuonani naye kabisa. Je unafikiri we ni shemeji yake pekee aliyemtongoza? Na kufanya malengo yake!
 
Kemea huyo ana lile pepo la ngono chafu. Hata kwenye matope, nilidhani angesema walau lami. Haya bana suburi akutumie tena nyingine.
 
wewe Huna Ushahidi Wa Kuongea Nae Zaidi Ya Sms huyo Ni Mumewe Anakutega!
 
Back
Top Bottom