Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Warembo niwaulize,men mnisaidie,kwa nini mabinti hawana feelings na wana wenye Hiphop lifestyle.Acha uhusiano wa mapenzi,hata ngoma zetu za movement "harakati" hamtaki kuskiza!Hata zile ngoma...
0 Reactions
73 Replies
12K Views
Wadau salaam na hasa kwa wanamme wenzangu tuliooa,binafsi napata wakati mgumu saaana napotembea na waifu barabarani,yaani kazi yake kubwa huwa ni kuniangalia naangalia nini....hasa akipita mdada...
5 Reactions
148 Replies
15K Views
yule mwanajamvi anayesakwa kwa udi na uvumba ili aseme neno kuhusu jinsia yake ajulikanaye kama Bujibuji ameonekana na kuitwa. kuonekana kwake ni katika uzi unaoulizia dawa ya mwanaume...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Maisha yamebadilika wakati ule mtoto anafikisha miaka kumi na zaidi lakini mambo ya ngono hayajui kabisa, lakini siku hizi siyo, mtoto wa miaka 5 tayari anajua mpaka kondom kama mzazi...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Nina rafiki yangu ana mpenzi wake ambaye amekwisha mtolea mahali tayari kwa ajili ya kumuoa!!Huyo mwanamke yeye ni mwalimu huko Morogoro na jamaa anafanya kazi Dar es Salaam,hivyo huwa na...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Marafiki Habari za Asubuhi, Ujue mimi siamini maswala haya ya Ulonzi na nimeshindwa kujadiliana na mtu yoyote anayenijua vizuri kuhusu haya mambo...nikaona nije huku ili tu niliseme hili nitue...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wadau, Katika peruzi yangu nimekutana na hii Simulizi, ina huzunisha sana. ==================================================== SIMULIZI YA KWELI YA KUSISIMUA NA KUSIKITISHA YA MTOTO JANETH ...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwanamke kicheche huolewa na mwanaume mtulivu na mwanaume kicheche huoa mwanamke mtulivu. Ndoa nyingi ndivyo zilivyo na ndiyo maana wanandoa wanaongoza kwa maambukizi ya HIV. Kama una mfano...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
1. Zamani wanaume walioa na wanawake waliolewa. Kila mmoja alitimiza majukumu yake vyema na kwa staha kubwa. Siku hizi watu wanaoana. Majukumu yote ni ya wana ndoa bila kujali jinsia. 2. Zamani...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nijuzeni wakuu, maana kuna mataifa mwanamke anamlipia mwanaume mahari, na kuna mataifa mwanaume ndo anafanya hivyo maana halisi ni ipi?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nimetafakari sana jambo hili Zamani msemo huu ulikuwa ndo kama sala kwa wazazi kwenda kwa mabinti zao KUJITUNZA Utaambiwa tunza mwili wako ni heshima mumeo akikukuta bado bikra Sasa inakuwaje...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakuu wa MMU ni vyema tukawekana sawa.Kuna watu tumekuwa mabahili sana kwa mabinti.Tukiwa na appointment yeye atatoa hela ya chakula,mimi nitalipa gest.nauli ni kujitegemea.Hakuna kuja na timu ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sijui ni kutamani au ndo nini, ila navutiwa sana na wanawake wenye nywele fupi. Hawa ni wale ambao hawajasuka, hawajatia midawa, hakuna wigi wala lace wig! Nawatazama sana nikikutana nao, mbaya...
0 Reactions
39 Replies
17K Views
Wakuu, kila mmoja apokee heshima kwa stahili yake. wenye mambo! haya, wale wa oyooo poa tu, wa shikamoo pia hali kadhalika. hebu nipeni maoni yenu kuhusu ulikoishia utamaduni wa kina dada/mama...
0 Reactions
58 Replies
15K Views
Mimi ni kijana umri wangu miaka 40. Kazi yangu mwalimu na nina mke wa ndoa ambaye nimeishi naye kwa muda wa miaka 7 sasa. Mpaka sasa hatujapata mtoto, mwezi uliopita ilibidi tushauriane na mke...
0 Reactions
112 Replies
35K Views
Natamani kuwa na familia umri wangu 26 kama upo serious, Pm
4 Reactions
86 Replies
9K Views
kwa waliowahi kupigana shuleni,majumbani au makazini,nini kilikukasirisha? Mwisho wa mpambano ulipigwa au vp? binafsi nilipigana baada ya kubaishiwa na mvulana mwenzangu na kutemewa mate. ingawa...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi. 1. Mtanashati 2. Story nyingi za uongo 3. Hahongi ovyo ... 4. Anajali zaidi ya mama yake 5. Hujituma sana kitandani 6. Mtamu kimahaba 7...
7 Reactions
114 Replies
27K Views
Wengi wanakoga ujasiri wa kusimulia haya lakini wanakumbana nayo sana tu,! Ni hatari mno kwenda kulala na mwanamke usiyemfahamu kabisa, mmekutana bar au popote umemtongoza kakubali fasta mkifika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…