Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wazee wa michepuko na team bazazi leo tulieni makwenu na familia zenu, msisingizie kuwa mnaenda mei mosi kumbe mnataka kuingia chobingo, siku hizi kuna vifo vya ghafla ndani ya gesti house na...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani mi nashindwa kufaham, mkitaka kuoana mnaambiwa eti lazima mpime,sasa nauliza je kupima ni hiari au cyo hiari?
1 Reactions
21 Replies
8K Views
"Kaka mambo? hajambo mke?". Kiukweli hujaoa bado na pengine una gf wako au hunaaaaa gf. Hili swali linalenga kutafuta nini kwa mwanaume? na ukiulizwa hivyo, unatoa majibu gani?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
nampenda sana dada Evelyn Salt wakuu sasa gia ya kumuingilia ndo nakosa jamani embu nipeni gear, maana kila nikijaribu naishia kuambiwa mdogo japo nina age ya 26,i stand to be corrected but my...
0 Reactions
102 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu. Nina rafiki angu (sio mpenzi, just a friend) mwalimu amepangiwa mkoani halafu porini sana. Leo kaniomba twende tukafunge ndoa za bomani ili apate cheti akaombe transfer...
0 Reactions
113 Replies
11K Views
Wacha wee! Kuna mdada mmoja nilisoma naye chuo miaka fulani hapo nyuma, sasa jana katika pilikapilika zangu mjini, tukakutana ghafla maeneo fulani, kwa hiyo tukaanza kusalimiana na tukaona ni...
5 Reactions
193 Replies
16K Views
Naomba nishuhudie kitu hapa.... Nilikua na uhusiano na mdada fulani ambae nilimjua kwao vyema tu...ni msomi wa chuo kikuu vizuri tu. Kwao niliwahi kusikia mama yake ana kashfa ya uchawi.mapenzi...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Wana JF, naomba ushauri wenu huyu binti niliye naye story yake inasikitisha sana, mpaka wakati mwingine inaniliza. Kama mjuavyo maisha yetu haya ya Mr & Mrs kuwahi maofisini lazima utafute...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU, nimekua single kwa muda wa miezi mi 3 sasa. Mpaka sasa nimeshafwatwa kutongozwa na wanaume wawili lakini kwa bahati mbaya wote wanaume za watu!! Na mimi nahitaji mwanaume...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Yule Mke wangu aliyenitoroka miezi miwili sasa bila kwao wala mimi kuju aliko, majuzi nilipiga simu kwa mama yake mdogo kutaka kujua kama walishampata, bahati mbaya kwangu alipopokea alinipa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa kawaida mtu anayeamini kwamba, ni dhaifu, hujaribu kwa kila njia kuficha udhaifu wake, na moja ya njia hizo ni kujikweza ili kujaribu kumshusha yule ambaye anadhani anamzidi. Mtu asiye na...
31 Reactions
233 Replies
28K Views
Habari wadau? Hebu tujichangamshe kwa kudondosha sifa moja ambayo anayokuwa nayo mtu anaekupenda kwa dhati. Kwa kusoma kile alichoandika mwingine nahisi kila mtu atapima kama kweli mpenzi wake...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Kiukweli nampenda sna my mummy coz amenilea na kunitunza kwa upendo na kunifunza mengi yaliyo mema. Je wampenda na kumjali mummy yako?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani wana JF karibuni tucheke ni hivi ktk kupiga soga shosti wangu alinipa kituko eti alikutana na mwanaume wa kihindi sasa akamtongoza wakaenda kwake kwaviel mke alikuwa safari lakini cha...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
1.usioe kwa 7bu umechoka kula kwa mama ntilie >>>mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama ntilie jifunze kupika. 2.usioe kwa 7bu umechoka kufua name kupika >>>mke co beki 3 kama umechoka kufua...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa...
0 Reactions
126 Replies
12K Views
Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu...
2 Reactions
175 Replies
13K Views
1.Usioe kwa 7bu umechoka kula kwa mama ntilie>>>mke sio mpishi kama
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mwenzenu mimi ni wa kiume, nimehamishwa kikazi toka Dar es Salam kwenda wilaya ya Mkalama Singida. Nihitaji wenyeji na marafiki wapya mnipokee nizoee mapema!
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wapwazi na maguest members nina mdogo wangu mchunga kondoo alipata kifaa alipo kuwa katika harakati za kurudisha kondoo kundini huko Songea na wakaahidiana wataoana. Toka ampate yule binti ilipita...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom