Naombeni ushauri.Kuna mschana anasumbua akili yangu sana

showtie

Senior Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
112
Reaction score
17
Shalom wana MMU!! Kuna msichana nilimpenda ,propably alikua rafiki yangu. Siku moja nika maproch akasema ana boyfriend na tena ni rafiki yangu, baada ya hapo tukaendelea kuwa friends kama tulivyokua. Sasa last week when tulipokutana sehemu tulipokua tuna talk akaniambia kwamba ile siku nilipo maproch alikata ili anichunguze. Sasa naomba ushauri kwamba nimkubali au nimreject?
coz i still love her!
Naombeni ushauri! na plz dont coment on language used!
 
Kama bado unampenda sasa unataka tukushauri nini Jombaa? Follow your damn heart Dude.....
 
Kweli akili mali ,unataka ushauri kwa issue iliyo clear?
Hizi ndizo impact za BRN
 
Una ummri gani? umri wako utasaidia sana kukushauri accordingly.
 
Kaka sasa wewe demu amekuambia alikuwa anakuchunguza kwanza. Uko tu?? Mtu hutongozi mara moja au mara mbili. Inawezekana hajavutiwa na wewe au hana feelings. Kilichopo wewe kaa kimya kuwa gentleman, kuwa expensive kidogo kwa kisingizio kwamba anamtu kwahiyo hata muda mwingine usipokee simu yake mpaka kesho yake. Usimwambie mengi ya maisha yako lakni endelea kuwa nae. I did this several times and it worked

The king.
 
Kweli akili mali ,unataka ushauri kwa issue iliyo clear?
Hizi ndizo impact za BRN

shida nikwamba huyo boyfriend alio niambia alikuanae nilimuliza kama wana relationship nae akasema yes na akaniambi mpaka sasa na nikimuliza huyu mschana anasema no nanikitaka tumeet wote nijue moja wote hawataki!
 
Kaka sasa wewe demu amekuambia alikuwa anakuchunguza kwanza. Uko tu?? Mtu hutongozi mara moja au mara mbili. Inawezekana hajavutiwa na wewe au hana feelings. Kilichopo wewe kaa kimya kuwa gentleman, kuwa expensive kidogo kwa kisingizio kwamba anamtu kwahiyo hata muda mwingine usipokee simu yake mpaka kesho yake. Usimwambie mengi ya maisha yako lakni endelea kuwa nae. I did this several times and it worked

The king.

thank you i will try it!
 
Shalom wana MMU!! Kuna msichana nilimpenda ,propably alikua rafiki yangu. Siku moja nika maproch akasema ana boyfriend na tena ni rafiki yangu, baada ya hapo tukaendelea kuwa friends kama tulivyokua. Sasa last week when tulipokutana sehemu tulipokua tuna talk akaniambia kwamba ile siku nilipo maproch alikata ili anichunguze. Sasa naomba ushauri kwamba nimkubali au nimreject?
coz i still love her!
Naombeni ushauri! na plz dont coment on language used!

Mbona hakuna issue ya maana hapa unayotaka ushauriwe! Mpe nafasi,unampenda,anakupenda. Tena changamka!
 
shida ipo kwamba nafkiri anananidanganya coz huyo jamaa alioniambia ni boyfriend wake anasema wana relationship nanikitaka tumeet nijue kweli hawataki
 
Iko siku mtaomba ushauri jinsi ya kunywa maji au kunya...loading error............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom