Mke wa jirani yangu

Mke wa jirani yangu

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,546
Habari WANA MMU, NAOMBENI MSAADA JINSI YA KUM BLACKJLIST mke wa jirani yangu cjui kapata wap namba yangu,ananisumbua sana,mume wake ameshaanza kushtukia.plz nisaidien coz cwekubadilisha namba.Natumia Nokia X2
 
bania mbaya nataka escape hilo janga iko rudi kwenu BOMBAY
 
Mme wake kastukia unawasiliana na mkewe au kashtukia unamlia?
 
Kastukia nawasiliana na mkewe
 
Naogopa sana coz anajifanya ana wivu sana pind akinioona na dem yeyote msaada jaman au tigo wanaweza nisaidia?
 
Habari WANA MMU, NAOMBENI MSAADA JINSI YA KUM BLACKJLIST mke wa jirani yangu cjui kapata wap namba yangu,ananisumbua sana,mume wake ameshaanza kushtukia.plz nisaidien coz cwekubadilisha namba.Natumia Nokia X2

Kama kweli humtaki mtishe unamwambia mumewe na asiposikia mtonye kweli ila inabidi uanze na mkeo kwanza ajue
 
Mumewe kisha stukia hivyo naona kama hatonielewa halaf cna mke mkuu
 
tulia tuu...

we huoni raha kusumbuliwa?

ungekuwa hutak ungefanya maamuz tangu mwanzo inaonyesha ulikuwa unajichekesha sn...ss.subiri kuonekana na OFM
 
mkuu BOMBAY ulimpatia ambacho hajawahi pata ndio maana anakusumbua...
subiri tuu kuolewa na huyo mwanaume ndio ujue mke wa mtu sumu
 
Last edited by a moderator:
mkuu BOMBAY ulimpatia ambacho hajawahi pata ndio maana anakusumbua...
subiri tuu kuolewa na huyo mwanaume ndio ujue mke wa mtu sumu

Alaf akute Mme mwenyewe anamguu wa mtoto lazima tigo afungue hyo
 
Last edited by a moderator:
Duh! Tatizo kumbe sio mke wa jirani, ni hicho kimeo chako... Watu tulikuwa na X3 tumeshazisahau. Nunua simu ambayo ina uwezo wa kumblacklist...
 
Wito:jaman 2punguzen ma u2ndu pindi 2napoteleza kwaku do na yf za watu cz wakinogewa unaweza hama mtaa
 
Usihangaike nipe namba yake,niuzie kesi mi najua nitafanyaje....loading error....
 
Back
Top Bottom