Uchawi wa ex-girlfriend ulivyonitesa

Uchawi wa ex-girlfriend ulivyonitesa

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
Naomba nishuhudie kitu hapa....

Nilikua na uhusiano na mdada fulani ambae nilimjua kwao vyema tu...ni msomi wa chuo kikuu vizuri tu.

Kwao niliwahi kusikia mama yake ana kashfa ya uchawi.mapenzi ni upofu!!nikapofushwa....

Tukaenda weee mwishowe wakati wa kufanya maamuz nikaamua niachane nae..kupitia maono nikapata mwingine na nikafunga ndoa.

Maisha ya ndoa hayakuanza vizuri.bahati tu nilikua na mwanamke mvumilivu na mwelewa..wakat wa uchumba na uyu mke wangu tendo la ndoa nililifanya kwa usahihi mkubwa na ukamilifu wa haja,baada tu ya ndoa honeymoon nilichoka....

Jogoo alikua ni wa kusukuma kama sio wa kupakia kabisa kama kiroba na still anakua mzigo...kiufupi nilikua nikianza tu kumlala mke wangu uume unasinyaa kabisa kabisa...lakini cha ajabu nilijaribu ya mchangani...gemu safi!!!

Nikagundua ex wangu alikua anaulizia sana habari zangu hasa za ndani kwa ndugu na jamaa aliowafahamu...kiasi ambacho ilinitisha kwamba huenda anafahamu hali aliyonisababishia......

Niliteseka miez minne hardly bila stiff erection kwa mke wangu mpya.....nilijipanga.ckwenda kwa mganga..nikapigwa maombi ya maana na kwa imani yangu NIKAPONYWA...ASANTE MUNGU.ASANTE YESU KWA KUNIRUDISHIA UANAUME WANGU..MWANAMKE YULE ASHINDWE KTK JINA LA YESU POPOTE PALE ALIPO...NAMKEMEA KUWA NI PEPO NA AKAFIE MBALI HUKO...NINA DAMU YA YESU HUNA NAFASI TENA KTK AFYA YANGU,UCHUMI WANGU NA VYOTE VILE...NIMEBADILI SIMU,MKOA,FACEBOOK,WASSAP,INSTAGRAM,TWEETER JUST TO BE FAR AWAY......THANK YOU JESUS
 
hapo umesema "ni msomi wa chuo kikuu tu".
asa niko najiuliza inamaana wasomi wa vyuo vikuu sio wachawi? au hawatakiwi wawe wachawi? na ni kwasababu gani?
 
ongeza juhudi na mikakati katika kufanya mambo yako usisingizie mdada mchawi
 
hapo umesema "ni msomi wa chuo kikuu tu".
asa niko najiuliza inamaana wasomi wa vyuo vikuu sio wachawi? au hawatakiwi wawe wachawi? na ni kwasababu gani?
kama ana sura mbaya lazma amloge mumewe asitoke njee haijalishi elmu
 
usihukumu nawe utahukumiwa na ulokole wa njiani ulioupata...muombe mungu kila siku si mpk upatwe na matatizo.......Kwanza hapo bado unaonekana una Spirit of Fear..
 
He he he, umetokea ukanda gani? Samahani lakini.
 
Anasahau kuna mwanasiasa mmoja alitishia kuua hadi sisismizi

hapo umesema "ni msomi wa chuo kikuu tu".
asa niko najiuliza inamaana wasomi wa vyuo vikuu sio wachawi? au hawatakiwi wawe wachawi? na ni kwasababu gani?
 
Kama ni member humu Jf tunaomba ututajieko...

Mie nna kampenzi kangu humu kanaitwa Mchumba , yani kalivyonifanyia siwezi hata kukasahau
 
Last edited by a moderator:
usihukumu nawe utahukumiwa na ulokole wa njiani ulioupata...muombe mungu kila siku si mpk upatwe na matatizo.......Kwanza hapo bado unaonekana una Spirit of Fear..

na ndio maana kabadili mkoa,fbook,twiter na hivo vingne
 
Lahaulah!,ukome kuchezea wtt wa watu,ningekua mm nina huo uchawi ningenyofoa hicho kifanyio kabisa!
 
Back
Top Bottom