Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Demu yoyote ajitokeze tujirushe tu kunipata tuma sms 0688381048
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tangu niwe na akili za kujitambua mimi ni nani nilikua na ndoto...ndoto yangu ilikua hivi "when I turn 25yrs,ts when I wish to be in strong reletionship and when i wil get marriade too" This...
1 Reactions
90 Replies
7K Views
"Wanaume wanaokimbiwa na wachumba/wapenzi wao hawana skills za kuwamaintain, kuwaentertain, kuwahandle, kusocialize na kucommunicate nao, they are simply lazy, ignorant and useless enough to be...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari za mchana wa leo wanajamvi..... Katika utamaduni wetu Watanzania tumezoea kupeleka zawadi mbalimbali kwa maharusi, zawadi hizo zinaweza kuwa ni pesa au vitu vya thamani. Ila kuna uvumi...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Wadau samahani, najua leo ni siku ya kazi! Nimeangukiwa sijui niseme na bahati ya mtende au balaa!Saa 10 usiku wa leo mrembo mmoja ambaye nimemsotea zaidi ya miaka 3, kanitumia sms kwa WhatsApp...
0 Reactions
96 Replies
7K Views
Nimewachunguza wanawake wa humu jukwaani hasa hapa MMU nimegundua wote sio waifu material wengi ni 1.wajuaji 2.wajivuni 3.wapenda starehe na anasa 4.michepuko na mengine mengi tu.
3 Reactions
263 Replies
18K Views
Habari zenu wana MMU??? Baada ya kufanya utafiti wangu kwa zaidi ya mwaka mmoja,nimegundua kuwa wadada wa JF ni hatare kuna 6*6 ,wanapokuwa anga hizo hupenda sana kujituma na kuhakikisha furaha...
0 Reactions
120 Replies
9K Views
Nawapenda wana jf wote ila kuna jamaa alikuwa mkorofi lakin nmefurahi baada ya kuadabishwa na jf si mwingne ni Mgirik pumzika na ban yako baba utatukuta na furaha yetu sisi.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nianze kwa kutoa kisa cha kweli then niwashauri wanaotafuta wachumba. Siku moja jeshi la Uingereza lilikuwa kazini baharini na wakaishiwa maji ya kunywa. Mkuu wa kikosi akapiga simu nchi kavu ili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF, ushauri unahitajika. Nimeoa kwa muda wa miaka 7 sasa mke wangu ni kutoka kanda ya ziwa, kwamuda wote huo sikuwahi kukaa na ndugu wa mke wangu hata mmoja zaidi ya mimi kuwatembelea wao...
2 Reactions
71 Replies
10K Views
Napenda kujua nini hasa tatizo kwa Mabinti wa Siku hizi huwa hawawapendi Mama wa Mme wake, Nina Mfano hai mingi tu, Kijana unaishi vyema na upendo tu na ndugu zako huko especially Mama, Baba, Kaka...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
1. Usiolewe kwa sababu umechoka kukaa kwenu, kwenu sio mahabusu kama umechokaa kukaa kwenu kakae kwa jirani. 2. Usiolewe kwa sababu umri umeenda, umri ni tarakimu tu hizo. 3. Usiolewe kwa...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Wana jamvi, nimejikuta leo nadondosha machozi kwa muda baada ya kumwona dada niliyemtolea bikra yake miaka ishirini na tatu iliyopita. Kwanza kipindi hicho tulikua mkoa wa kanda ya kati mwa...
3 Reactions
68 Replies
10K Views
%.. WAZO LA LEO ..% Hata kama uwe na fujo kiasi gani, huwezi kugombania Foleni ya kupima UKIMWI! Je unabishaaaaa"!!!!!!!!
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni binti nilichelewa kidogo kuolewa nilipoolewa nilimkuta mume wangu na mtoto wa miaka saba,ambe bado alikua anaishi kwa mama yake alioolewa na mtu mwingine.baada yakufunga ndoa tu tulifanya...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Mapenzi, Mapenzi, Mapenzi. Kama kungekuwepo na chuo kinatoa shahada na kanuni halisi za mapenzi basi vijana wote ingekuwa MANDATORY kupata hiyo shahada. Mimi ni 'ME' wa 27yrs...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Najijua napenda sana wanawake, lakini sijakaa maishani kwangu kufikiria kutembea na mke wamtu. Namuomba Mungu aendelee kunipigania kwa hilo. Nimeshakutana vishawishi vingi sana. Guys, kuna...
2 Reactions
70 Replies
8K Views
Hakopesheki tena, ndani kabaki na godoro shuka mto na nguo chache, anatembea na ufunguo wa vx v8, anadaiwa na wapangaji wote, mwenye nyumba, mangi dukani, barmaid, bodaboda, changudoa 3, muuza...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za mwisho wa mwezi? Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo...
5 Reactions
103 Replies
9K Views
Niwasalim wana MMU... Bila kuleta uswahili nimalizie kimkasa changu cha msichana niliempenda kuliko wote na bado nililazimika kumuacha..... Nakumbuka karibu chuo kizima tayari kilikua kishajua...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom