Mei mosi isiwe kisingizio

Mei mosi isiwe kisingizio

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Wazee wa michepuko na team bazazi leo tulieni makwenu na familia zenu, msisingizie kuwa mnaenda mei mosi kumbe mnataka kuingia chobingo, siku hizi kuna vifo vya ghafla ndani ya gesti house na nyumba ndogo..!tulieni
 
Mkuu angalia asilimia ngapi wameajiriwa na asilimia ngapi wamejiajiri,ukishapata rekodi,utajua leo wengi wetu tuko makazin kama kawa.ndivyo sivyo unavyotufikiria.loading error...
 
mr loading error ni kweli kabisa wafanyakazi wa gesti leo ndio wako bize kuliko siku nyingine, leo hakuna kuomba ruhusa wala udhuru wowote ule na nyingi leo zitajaa kabla ya saasita
 
Wazee wa michepuko na team bazazi leo tulieni makwenu na familia zenu, msisingizie kuwa mnaenda mei mosi kumbe mnataka kuingia chobingo, siku hizi kuna vifo vya ghafla ndani ya gesti house na nyumba ndogo..!tulieni

Watasema wanakwenda kuandamana!
 
mr loading error ni kweli kabisa wafanyakazi wa gesti leo ndio wako bize kuliko siku nyingine, leo hakuna kuomba ruhusa wala udhuru wowote ule na nyingi leo zitajaa kabla ya saasita

ha ha ha haaaa huyo ndo mshana jr..loading error....
 
This time watakaa home watakuwa wapole sababu mishahara bado labda kama imetoka leo.
 
hadi asubuhi mishahara ilikuwa bado. nimeangalia salio kwa simu hadi nmeambiwa "salio lako halitoshelezi."
yaani hata ile elf 2 iliyobakia imekauka kwa kuchungulia salio.
 
Haya mambo hayazuilika, mpaka mtu aamue mwenyewe tu!
 
Bulldog GPS na LOCATION VIEW vinaonyesha uko mahali patulivu mno halafu kuna shadow ya kama mtu mke pembeni yako

Ofisi yang ipo sehemu tulivu sana na kivuli kilicho pembeni yangu ni secretary wangu
 
SAMAHANI aunti,..... ...bila samahani.. . ..chumba hadi kesho bei gani? ....... 1500$ . .ok nipatie ufunguo
 
Back
Top Bottom