Habari zenu wana MMU, nimekua single kwa muda wa miezi mi 3 sasa. Mpaka sasa nimeshafwatwa kutongozwa na wanaume wawili lakini kwa bahati mbaya wote wanaume za watu!! Na mimi nahitaji mwanaume Aliye single tuyajenge!!! Swala hili linaniumiza akili na linanichosha!! Nifanyeje?