Nampenda evelyn salt,nifaneje awe wangu

Nampenda evelyn salt,nifaneje awe wangu

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
nampenda sana dada Evelyn Salt wakuu sasa gia ya kumuingilia ndo nakosa jamani embu nipeni gear, maana kila nikijaribu naishia kuambiwa mdogo japo nina age ya 26,i stand to be corrected but my heart thinking about her and i love her from bottom of my heart.
 
Last edited by a moderator:
Endelea kumsumbua atakuelewa, labda anachukulia utani au naweza sema wewe hujaonyesha msimamo

Umri sio tatizo au labda mdogo amaanishe Pesa hapo nitakuwa nimeelewa
 
tatizo umekaa kichaga chaga sana. kwa pozi hizo tafuta wenzio wa kishumundu.
 
unamfahamu? wewe mwalimu wa secondary umekosa katika kundi la watoto wako nini? umeshamwita dada evelyn salt huoni haya kumpenda dada yako? hebu mpe shikamoo then kimbia haraka.
 
Back
Top Bottom