Habarini,
Natumaini mu wazima, leo hebu tugeukie kanda ya ziwa tupeane tabia za wasukuma. Mdogo wangu anatarajia kuolewa hivi karibuni na msukuma mmoja hivi, sasa naombeni mtusaidie kujua tabia...
Mwanamkasi zahiri ambaye kwa sasa anaishi maeneo Mikocheni jijini dar es salaam.
Katikati ya mwezi huu alitoa Kali ya mwaka baada ya kuolewa na mfanyabiashara wa kimataifa wa vifaa vya umeme...
Ni wiki moja sasa tangia nipost mada yangu ilikuwa na kichwa kisemacho,Abby nashukuru kwa yote. Baada ya dharau nyingi na kejeri nimeamua kuukubali ukweli wa mambo kuwa nilichelewa kujua dhamira...
Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wana watoto.
Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na una kazi nzuri.
Usiolewe sababu kila...
Tuna mtoto, hatujaoana, tuliachana kwa muda wa miaka miwili na nusu, sababu ilikuwa ni mistreatment/abuse.
hapo katikati kulikuwa na mushkeli sana wa kupigana na kupelekana polisi na kusemeleana...
OOOOh ...najua waTz wengi Hatupendi Ukweli..
This is too much inachosha...
hivi humu ndani jaman kila mtu anajikweza, kila mtu anajifanya handsome/beutiful ifunanya kuliko mwenzie,Shape na...
Kuna rafiki yangu wa karibu alinisimulia yaliyomsibu, ambapo kusema ukweli alisita kuniambia kisa hiki hadi mwisho. Anadai alikutana na mwanamke maeneo fulani ambaye hakujua kama ni bisexual...
Jamani natafuta mchumba age interval 16-23!
Maana nimechoka sana huku mtaani wananiona mgumu eti sina hisia hawajui kua na act! Na mimi najua kupenda ila sipendi kuchepuka tena moyo wangu si wa...
Ni kitu cha kushangaza kidogo lakini kipo na kitaendelea kuwepo ,wakati wa penzi changa mapenzi huwa motomoto kwelikweli mtanyonyana kila mahali na hamchoki hata
lakini jinsi mnavyoendelea...
Daaaah! simnajua tena Jamani daladala za Mwenge-Posta kuna Watoto Wazuri asikwambie Mtu, basi siku ilo asubuhi nimemuona mrembo mzuri maskini hata hawezi kugombania gari, nikaona hapa hapa ndio pa...
Habari marafiki.
Najua mlishtushwa na kile kilichotokea siku ya jana.
Kijana micka jac si tapeli au mwongo kama mlivyomdefine.
Actual hata mimi kama ndo ingekuwa mara ya kwanza kuona...
WanaJF, mwaka huu nimedhamilia kuweka kitu ndani, majiko ya kuazima yamenichosha, katika kampeni zangu za mwaka huu nimeamua kuanza kuwaandaa ndugu zangu juu ya ujio wa jiko la kisasa, jiko la...
Wanandoa na wapenzi,
Chumba ndiyo ofisi yenu.ridhishaneni,jadilianeni,kosoaneni,gegedaneni kwa viwango,ombaneni msamaha na msameheane humo.mkitoka nje ya chumba chenu tu,haitawezekana tena...
Habari za mei mosi wadau, Natumai mu wazima! lengo na madhumun ya mada hii ni kujaribu kushirikishana sababu zilizopelekea hadi sasa hatujaingia kwenye hii institute ya ndoa hasa kwa vijana ambao...
Jamani naombeni ushauri kwenye hili.
Mimi kwa sasa naishi nyumbani kwa dada yangu ambapo ameolewa na ana watoto wawili wa kwanza ana miaka 9 na mwingine 6. Dada yangu hakufunga ndoa na huyu...
Shikamooni wakubwa zangu. Vipi hali zenu? Namshukuru mungu kwa kunijaalia uzima na mengineyo ya kheri. Mmenifadhili vyema ila nina ombi lingine ndugu zangu. Naombeni mnisaidie kiasi cha pesa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.