Shughuli zangu zinanikutanisha na wasichana/wanawake wengi, baadhi yao nawachukulia kama dadaz/aunt zangu. Wengi wamekuwa wananiomba mkopo wa pesa kwa ahadi za kunilipa pesa, lakini cha ajabu au...
Wana Jf nipo njia panda nahitaji ushauri wenu.
Mke wangu ni mtumishi wa umma,kurudi kwake nyumbani ni usiku kutokana na matatizo ya foleni hapa mjini.Binafsi mimi ni mjasiriamali.Binti wa kazi...
Nimeamua kuuliza swali hilo hivyo, si kwakua ninadharua rangi yangu lakini ni kitu ambacho kimenipa hasira sana.
Nimekua na relationships za kutosha mpaka sasa nilipoamua kutulia. Kati ya vitu...
She is cheap because she loves you
If you wanna know how expensive she is check her inbox and see how many GUYS she DISAPPOINTED just to be with you alone.
Men respect your WOMEN
Kwa niaba...
Nadiriki kusema ndoa tu ndo shule ngumu sana kufaulu,na ndo maana unapewa cheti chake kwanza halafu mitihani yake unaikabili baadae lasivyo ingeanza mitihani wengi wangetoroka shule na wachache...
Shikamooni wakuu,
Sasa leo nataka niseme kitu kimoja kwenu wanaume,
Mwanamke mzuri anahitaji pesa jamani,usitegemee utampata mwanamke mzuri kwa sasa hivi kama hauna mkwanja mrefu,hilo sahau...
Sijui sana labda ndio kwenda na wakati au mimi ni mshamba.
Kuna tabia imezuka sana kwa sasa tabia ya kutaja hadhrani viungo vya siri au sehemuza siri au matendo yanayopaswa kufanywa sirini bila...
Ndugu wanaJF,
Kuna baadhi ya vitu huwa vinatumiwa tu na wanawake, lakini pia vipo vinavyotumiwa na wanaume tu, japo vipo ambavyo twaweza kutumia pamoja.
Sitaki kuzungumzia perfume maana nahc...
Jana nilifiwa na mwanangu wakati mama ake akiwa katika hatua za kujifungua, ni maumivu sana lakini naamini ni mapenzi yake Mungu.
Ninawashukuru wote waliofika kunijulia hari,waliotoa pole zao na...
KUTOKA KWA MUANDISHI WAKO WA TAMTHILIA YA THE SECOND DOOR USIKOSE KUFATILIA
KISA CHA AINA YAKE KATIKA RIWAYA YA MAHAKAMA YA MAPENZI
NANI KASEMA HAKUNA MAHAKAMA YA MAPENZI? USIKOSE KUJUA
NINI...
Dunia ina mambo,kweli tembea uone au usikie mengi.
Leo nimeng'oa mlupo,kidosho swadakta mtoto wa watu nikajilie vyangu. Kufika loji nikamchojoa viwalo vyake. Nikaanza maandalizi ya kumwelekeza...
Niamkapo, Nasali na baadaye,
salamu kwa marafiki ndugu na jamaa:
wakubwa=shikamo
vijana wenzangu=Habari
wadogo zangu=umeamkaje.
Mungu akulinde kwa upendo wako wa kukubali kuitikia salam...
Kwa wanawake kupenda kunawachanganganya sana, tofauti na wanaume. kwa mwanamke kupenda kunahusisha mambo mengi na kila mmoja anazo sifa zake anazozipa kipaumnbele ingawa hazitofautiani sana.
Kuna...
Wanajamii habari za jioni. Mke wangu ikifika jioni mpaka usiku anakuwa busy sana na sim hata mda wa kuongea na mimi hana, wakati mwingine tukiwa sebureni hujifanyifa anaumwa na kwenda chumbani...
Jamani natafuta rafiki wa kike lakini awe mwalimu shule msingi au sec ambaye baadaye tuweze kuishi pamoja as a family...sifa: awe mkristo, umri kati ya 18 -23, kabila yeyote,mrefu kidogo asiye...
Habari wanaMMU,......
Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia.
Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe...