Kwanini dadaz/wanawake wengi mkikopa pesa mnapenda kulipa huduma badala ya pesa?

KIBONGOMKUTI

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
1,425
605
Shughuli zangu zinanikutanisha na wasichana/wanawake wengi, baadhi yao nawachukulia kama dadaz/aunt zangu. Wengi wamekuwa wananiomba mkopo wa pesa kwa ahadi za kunilipa pesa, lakini cha ajabu au kushangaza wengi wao mara baada ya kukopa jina kaka huanza kutoka kwenye kamusi ya mawasiliano mara utasikia Baby/Honey/Sweet ikifuatiwa na samahani za kizushi kana kwamba kakosea. Funga kazi ni kila ninapodai pesa zangu naishiwa kuonyeshwa dalili za kulipwa huduma badala ya cash money. Naomba ushauri tafadhali me sitaki huduma nataka mpunga wangu full stop!
 
Waambie wahusika face to face kwamba wewe unataka pesa na sio huduma,full stop!!
 
wamekuona wewe ni 'dhaifu' kwa hilo jambo ndo maana wanakufanyia hivyo. Kuwa na msimamo, pia kila unapojihusisha na mambo ya pesa weka katika maandishi na kisheria zaidi.
 
Duuuuh pole acha kukopesha akina dada kama namna hiyo vinginevyo umaskini unakuita!!!!
 
utakopa mil 100 ulipe ngono?
Au unaongelea duka la mangi?

Umemwangalia mwanamke chini sana
 
Be serious na mambo yako, pia kumbuka kutofautisha mapenzi na kazi, wanaweke wa mjini walio wengi siku hizi wanauza K**a zao, tena kwa kulazimisha! Hii ni kutokana na ugumu wa maisha na pia uzembe na tabia yao mbaya ya utegemezi kwa wanaume waliyojijengea!
Fanya kazi, acha mapenzi. Full stop!
 
Usikopeshe bhana, wanawake wata kufirisi lakini siyo mbaya ukimchagua mmoja wa kumkopesha alaf akupe huduma.
 
Mh,mkopo wenyewe wa buku kumi labda! yaani utoe mwili wako kwa sababu ya pesa!

Little Angel; kwani thamani ya uchi wa mwanamke ni shilingi ngapi kwa kuwa unaiona Sh.10,000 ni ndogo? Acha hizo, tabia hiyo akinadada wengi wanayo sana!
Mbona wengine wanajiuza hai kwa chipsi ya buku? Tena yawezekana wewe ni mmoja wao!
 
Hahahaaa... Weye nawe unawaendekeza.. Weka sura ya mbuzi kwenye kuwadai uone kama watakuita Baby au Honey..
 
Shughuli zangu zinanikutanisha na wasichana/wanawake wengi, baadhi yao nawachukulia kama dadaz/aunt zangu. Wengi wamekuwa wananiomba mkopo wa pesa kwa ahadi za kunilipa pesa, lakini cha ajabu au kushangaza wengi wao mara baada ya kukopa jina kaka huanza kutoka kwenye kamusi ya mawasiliano mara utasikia Baby/Honey/Sweet ikifuatiwa na samahani za kizushi kana kwamba kakosea. Funga kazi ni kila ninapodai pesa zangu naishiwa kuonyeshwa dalili za kulipwa huduma badala ya cash money. Naomba ushauri tafadhali me sitaki huduma nataka mpunga wangu full stop!

Na wewe inaelekea unaipenda hiyo hali.Mie nakushauri ACHA kuwakopesha na hutapata tena huo usumbufu.
 
Ambaye anabisha tabia hii haipobasi haishi kwenye nchi hii.........Labda tofauti ni kwamba jamaa anawavumilia sana
 
By Lilian Masilago Na wewe inaelekea unaipenda hiyo hali.Mie nakushauri ACHA kuwakopesha na hutapata tena huo usumbufu.

Da Lily kiukweli me sipendi mambo hayo vinginevyo ningekuwa nawagonga tu, inaniuma sana kuona baadhi ya dadaz/wanawake wanaishi kwa kuuza miili yao. Ndo maana hawa wanaonikopa me nawaona kama wajasiriliamali flani, ninatoa mkopo kwa dhamira ya kuwafanya washughulikie na kujiingizia kipato halali. Jamani, naomba nieleweke hivyo, nakushukuru pia kwa ushauri wa kutoendelea kuwakopesha
 
By Purple Waambie wahusika face to face kwamba wewe unataka pesa na sio huduma,full stop!!

Asante Purple kwa kunipa mbinu mbadala wa kudai changu. Big up
 
By Ogopasana wamekuona wewe ni 'dhaifu' kwa hilo jambo ndo maana wanakufanyia hivyo. Kuwa na msimamo, pia kila unapojihusisha na mambo ya pesa weka katika maandishi na kisheria zaidi.

Nashukuru kwa ushauri wako ila kuhusu udhaifu huo sina labda kama huruma inaweza kupata tafsiri ya udhaifu hapo utakuwa sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom