Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aisseeee! nawachukia sana house girls hasa wasojitambua! Kumekuwa na thread nyingi sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma house girls. Hivi nyie ni wanaume mliokamilika kweli...
6 Reactions
196 Replies
19K Views
Jamani mimi ni mgeni humu jamii forum nimevutiwa na sana na hili jukwaa kwa muda mrefu sasa. Je nimepokelewa? Nyani Ngabu,bujibuji,Likudi na wengineo
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Dear Women First of all, I', a man! And by far I am not coming from an angle where I can claim to understand you. That, in fact is why I'm writing this: I want to understand you, Cause, from my...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
hellow guys, poleni na mihangaiko ya hapa na pale, kuna tetesi nimesikia kuhusiana na heading hapo juu kwa wadada , je ni kweli ukichanganya hivyo vitu na kupaka ngozi inakua laini na nyororo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mambo vipi wana mahusiano? Kuna swali moja gumu kweli nimekutana nalo. Jama ana mpenzi ambaye amebakwa na baba yake kwa miaka miatano mfululizo! Demu alikuwa hajarevil kwa jamaa kwa muda mrefu...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Ukija tanga Uje na Khangaaaa usije mikono mitupu....mkono mtupu haulambwi
1 Reactions
21 Replies
48K Views
Nataka kusoma lakini mda mwingi nakuwa na mawazo juu ya maisha yalivyo nikalia vigumu
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii forum,Hivi KIUKWELI UNAWEZA UKAPENDA BILA KUTAMANI?????????Maana hii kitu imenisumbua sana akili kwamba unampenda tu binti ila nijuavyo mm unamtamani kwanza unapomuona mara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naamini mwanamke awaye yeyote ambaye bado anaziona siku zake anajua maumivu ya tumbo, hisia na msongo wa mawazo anaopitia wakati anapokuwa kwenye siku zake. wako wengine hulazimika kulala...
9 Reactions
115 Replies
11K Views
Ladies do you know why most foreigners (men) wanadata kwenye mpenzi nanyie. Ukweli ndo huu from experience,wengi wenu niwasafi,so far for east and southern Africa countries nimeishi hakuna...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hili jukwaa ni kwaajili ya mapenzi, mahusiano na urafiki lakini yanayowekwa huku cyo jamani, tuangalie jukwaa lisifungwe wajamen, IMEJIPOST by HP
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Unakuta mtu ana wafanyakazi wa ndani yani (House girls) wawili na watoto wake. Anatoka nao kwenda kwenye mgahawa kupata chakula na kinywaji kidogo! Kwanza anapofika ktk mgahawa haongozani na hao...
5 Reactions
110 Replies
8K Views
Habari wana MMU. Kwa wenye uzoefu au ufaham wa gharama za ndoa ya bomani ikilinganishwa na gharama za ndoa ya kanisani. Ndoa ipi ni ya gharama nafuu zaidi kati ya hizo mbili? mchanganuo...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Dunia hii ina mengi sana, mengine ukiambiwa utadhani ni simulizi lakini huu ndio ukweli wenyewe. Jambo limetokea yapata mwaka sasa leo nimeona si vibaya niki-share nanyi. Nikiwa naishi eneo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Am 29 he is 43 ana watoto wawili daughter 15 years old na son 3years old alizaa na wanawake tofauti..Hajawahi kuoa sasa anataka niwe mke wake ananambia watoto wapo kwa mama zao watakuwa wanakuja...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Mawazo kama haya yanatisha. Get a house helper hiyo sio kazi ya mke kufanya yeye kwa nyingi ya hizo. She is your better half. Huwezi kumfanyia hivyo dadangu wala mwanangu moto usiwake.
5 Reactions
77 Replies
8K Views
Hili ni jambo muhimu sana katika maisha. Usimuachie mtu mwingine majukumu yako kwani kwa kufanya hivyo unampa pamoja na uhuru wako. Uhuru wako umo ndani ya majukumu yako, uhuru ni matokeo ya...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu ... Yaani wiki haishi wachaga tunanyanyaswa hatujui mapenzi .. wewe umechukua hatua gani ya kutufundisha ... Mnataka tufanyaje sasa hapa naomba mtufunde nyie mnaojiona mnayajua...
9 Reactions
268 Replies
22K Views
Kuna rafiki yangu alifiwa na baba ake toka akiwa standard 2. Walikuwa wawili tu katika family yeye na mdogo wake mama yao alijitahidi sana kuwalea pasipo na ushirikiano kwa upande wa baba yake...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilimuaga mke wangu Ijumaa asubuhi kuwa naenda Dar. Safari hii alikuwa anaifahamu siku tatu kabla kuwa naufuata mzigo wa biashara! Usiku kabla hatujalala aliniandalia nguo za kuvaa na...
1 Reactions
112 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…