Tuwe na Hofu na Mungu

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,128
3,509
Habari wadau.
Mbarikiwe sana.
Amani ya bwana iwe nanyi.
Ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ana dini husika ambayo huabudia.
Sasa inakuwaje basi katika jukwaa la dini hakuna post hata moja? yaani ni kusema tangu JF ilipoanza hakuna hata mdau aliyetupiamo post!
Daah hii inatia shaka sana.
Hebu tubadilike wadau.
 
Back
Top Bottom