ijumaa tamu hii walahi!

ijumaa tamu hii walahi!

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
ijumaa tamu kama hii walahi ATM inacheka!!

kwa sie tulio na madeni ni wakati wa kusay 'hello to the world'....pata kitu rooo inataka sikia...lainisha koo;tumbo lipate ile kitu masai napenda.....madeni kitu gani nchi inadaiwa 14trilion itakua wewe?wakuache!!


tukutane kwetu pazuriiiiiii...uwahi tuuu maana parking ni shidaaa....na ni kusimama mwanzo mwishoo!!!
 
sabatho imeshaanza wengine tunaenda lessoni....
 
Serikali ya Mkapa ililipa madeni itakua mchepuko
 
Last edited by a moderator:
weraaaaaaaa... mwanaume ni kunywaaa, na kupenzika usiku mzimaaa, morning glory wachia wakristoo..
 
Wengine tumetoka msikitini, hatujamaliza siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom