Msaada tafadhali, Naona wanawake wote ni malaya

mimitungi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
738
Reaction score
261
Sijui nina tatizo gani!... miaka michache iliyopita niliona wasichana na wanawake kama dada zangu na ndugu zangu hata awe mkali vipi... lakini kwa sasa naona Wasichana/wanawake karibia wote wanaweza kugawa kwa mwanaume yeyote maadamu uwe na pesa na kubembeleza vizuri... Sorry ni mtazamo wangu tu wakuu, nahisi nimeathiriwa na mapicha na hadithi za x. Samahani kwa uandishi mbovu, natumia simu...
 
hakuna uandishi mbovu hapo wewe ndo mbovu alafu tungi limechangia lala ukiamka utawaona vzr sa ivi unaona tatu tatu!
 
Bado sijanywa mkuu, ila ndo naelekea huko kujumuika.
 
Sijui nina tatizo gani!... miaka michache iliyopita niliona wasichana na wanawake kama dada zangu na ndugu zangu hata awe mkali vipi... lakini kwa sasa naona Wasichana/wanawake karibia wote wanaweza kugawa kwa mwanaume yeyote maadamu uwe na pesa na kubembeleza vizuri... Sorry ni mtazamo wangu tu wakuu, nahisi nimeathiriwa na mapicha na hadithi za x. Samahani kwa uandishi mbovu, natumia simu...
Mkuu unajua heading yako inamtukana hata mama yako!
Brother, tumia buasara.
 
Embu msome vizuri anaona ni tatizo..na hii mbona ni kawaida tu hata hapa jukwaani kuna madem wengi wanaona hakuna wanaume wa kuoa..wote ni vitombi tu, au hata washkaji wengi hata kijiweni kwako wanakwambia demu usimwamwini aslilimia 100 mpe 80 au wengine mpe 70
Na mtoa mada anasema ni tatizo sio kwamba anafurahia
cc:mimitungi
 
U ar wrong
Pole sana
tunajitambua na tunadhamin miili yetu
 
Embu msome vizuri anaona ni tatizo..na hii mbona ni kawaida tu hata hapa jukwaani kuna madem wengi wanaona hakuna wanaume wa kuoa..wote ni vitombi tu, au hata washkaji wengi hata kijiweni kwako wanakwambia demu usimwamwini aslilimia 100 mpe 80 au wengine mpe 70
Na mtoa mada anasema ni tatizo sio kwamba anafurahia
cc:mimitungi

Nimekupata, ahsanteh kwa kujazia nyama... wanajifanya hawajanielewa.
 
Back
Top Bottom