Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Viongozi, huwa napitapita huku kwa chati lakini siku hizi mbili tatu nimevutiwa sana na MMU. Nitakuwepo kwa muda kabla sijarudi kule kwenye ban. Nafahamiana na baadhi yenu kama Heaven on Earth kitambo na hivyo nawiwa kupeana story na nguri wengine wa MMU. Mko wapi?
Last edited by a moderator: