Hivi wanandoa ni lazima kuchepuka?

Hivi wanandoa ni lazima kuchepuka?

mimitungi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
738
Reaction score
261
Inasikitisha sana, lakini ndo vile tena. Mwanaume anaoa huku anauwaza mchepuko wake, mwanamke anaolewa huku kidumu kiko pembeni. Maskini... kwanini hatuwazi juu ya baadaye, je, hatujui nini kinafuata juu ya familia uliyoianzisha. Kwani lazima uoe/uolewe kama unajiandaa kuchepuka baadaye? INAUMA SANA...
 
Hakuna michepuko ni kudumisha eti.
 
Back
Top Bottom