Kinachomfanya mchepukaji achepuke ni ukweli kwamba aliingia kwenye ndoa/mahusiano kwa kusukumwa na tamaa za mwili badala ya upendo na ndo maana hatulii na hataweza kutulia labda atulizwe na Neema ya Mungu.
Upendo haupungui neno wakati wowote, huushinda ubaya kwa wema, kuna tofauti kati ya upendo na tamaa za mwili.
Chunguza utasema ndio.
Upendo haupungui neno wakati wowote, huushinda ubaya kwa wema, kuna tofauti kati ya upendo na tamaa za mwili.
Chunguza utasema ndio.