Nitapata lini!

bagabe

JF-Expert Member
May 8, 2014
483
602
habari zenu wana mmu!

Kuna binti nimeanza nae mahusiano kama mwezi uliopita.Katika maongezi yake ameonyesha ugumu kwenye suala la kufanya mapenzi ikiwa alishaniambia kuwa ni bikra.Naombeni mnisaidie ushauri ili niweze kufanya nae mapenzi maana nina mzuka na pakutolea hakuna zaidi yake
 
Mwite geto kwanza aanze kuzoea mazingira ya kuwa naww faragha
 
bunge la budget linaisha then tunarudi kwenye mipasho ya bunge la katiba
 
Watu bwana condom na bikira wapi na wapi?kama huna mbinu za kumtoa na anaenda kwa mujibu wa sheria watakusaidia kule haswa zile week 6 bila kulala.maana wametafutiwa posho mpya(mabinti) kwa kigezo cha mujibu wa sheria
 
Hivi kwenye bunge la katiba alieshinda kombe la mipasho ni nani? Kwenye bunge la bajeti mshindi ni le professeur tibaijuka. Aisee, alirusha mpasho utadhani kazaliwa buguruni kwa binti madenge!
bunge la budget linaisha then tunarudi kwenye mipasho ya bunge la katiba
 
Watu bwana condom na bikira wapi na wapi?kama huna mbinu za kumtoa na anaenda kwa mujibu wa sheria watakusaidia kule haswa zile week 6 bila kulala.maana wametafutiwa posho mpya(mabinti) kwa kigezo cha mujibu wa sheria

duh!kumbe bikra haitolew na kondomu!
 
habari zenu wana mmu!

Kuna binti nimeanza nae mahusiano kama mwezi uliopita.Katika maongezi yake ameonyesha ugumu kwenye suala la kufanya mapenzi ikiwa alishaniambia kuwa ni bikra.Naombeni mnisaidie ushauri ili niweze kufanya nae mapenzi maana nina mzuka na pakutolea hakuna zaidi yake

Una miaka mingapi?
 
Kama shidayako ni kutoa mzuka kwanini uutoe kwa huyo mtoto bikra? Nakushauri uende ukanunue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom