Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
List ni ndefu kama kuna mwenye data anaweza mwanga hapa: Jacqline Vs Reginald M Rita Paulsen Vs Reginald M Mwanvita Makamba Vs............ ...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Ok soriii
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu jamani, Am first mimi ni new member humu MMU ni ntafurahi zaidi endapo mtanipokea kwa mikono miwili na kuonesha ushirikiano wenu,na kubwa ni hili,nimetokea kumpenda kijana mmoja na...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Naona couple nyingi wanaume wanakua warefu zaidi ya wanawake zao,na ikitokea mwanamke akiwa mrefu zaidi ya mwanaume wake basi inakua gumzo mtaani,kwani imeandikwa wapi kuwa lazma ukiwa na mwanamke...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani hii kauli si ya kwangu lakini nimekuwa nikiisikia mara nyingi..,sasa kilichonifanya niilete hapa jamvini muitolee maoni ni baada ya kumwona live mdada mmoja ambaye alikuwa serious akimjibu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau, Najua ni mapema sanaaa yani kuwaza habari za mapenzi asubuhi yote hii,ila mara moja moja si mbaya.... Okay back to topic..... Hii ya leo inawahusu wanaume mliooa au ambao...
6 Reactions
310 Replies
28K Views
Kwa wale wanaokumbuka miaka kama kumi hivi iliyopita kulikuwa na nyimbo mbili zilizopendwa kuimbwa wakati wa harusi ya ndoa. Nakumbuka nyimbo hizo ni .. Anamelemeta na @ayaya kuolewa. Nakumbuka...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Wana jamii kichwa cha habari kinahusika hapo juu. Kuna kaka mmoja tulikutana online mwishoni mwa mwaka juzi, (siyo Jamii Forum lakini) sasa katika ku-chat akaanza kunieleza matatizo ya mke wake...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Eti ni kweli wenye majina haya wanatabia hizo? 0. JACQ => Huwa ni Mapepe hawajatulia... 1. PATRICIA => wote ni wapole but hupewa mimba ovyo ovyo... 2. DAMARI => wote huwa waZuri. 3...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
1.Sitaki hivi na vile Mwanamke unapokuwa faragha na mpenzi wako hutakiwi kugomea vitu ambavyo mpenzi wako anataka kukufanyia tena kwa ukali. Kwa mfano, kuna baadhi ya wanawake wanaposhikwa maeneo...
0 Reactions
73 Replies
17K Views
Naona kama mungu atupe na jicho la tatu yaani hali imeshakua mbaya sana. Yaani unamsomesha mtu alafu anakukimbia baada ya kumaliza masomo. Tena anakwambia hajisikii tu kuwa na wewe, mapenzi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NATAFUTA MKE Ni kijana wa miaka 26naishi mbeya natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu asizidi 23 miaka sifa; .Awe mkiristo .Aishi popote Tanzania .Awe anayatambua majukumu yake .Awe na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mie ni mgeni hapa-naombeni mnisaidie ushauri. Nilikua na mwenzangu (mie ni ke),2lifahamiana miaka 8 sasa 2kiwa A'level-mikoa tofaut,hatmae tukaanza chuo na kuanza rasmi mahusiano,nikamaliza kabla...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Natumai wote ni wazima kwa kudra za Mwenyezi Mungu na kwa wale wagonjwa Mungu awaponye. Weekend hii nilikuwa natafakari jambo juu ya uumbaji wa Mungu hasa jinsi mwanamke alivyoumbwa,je nawe...
24 Reactions
94 Replies
12K Views
Kuna nyumba mpya ya kupanga nimehamia kama miezi miwili iliopita katika io nyumba kuna msichana next door anaishi na dada yake tunasoma wote chuo kimoja. Mwanzoni nilimpenda na yeye akaonyesha...
1 Reactions
81 Replies
9K Views
Wanajf kwanza nawasalimu, Nina mpenzi wangu ninampenda sana,lakini yeye anakaa kwao na mimi niko kwetu,yeye hua akiwa na shida namsaidia lile nililokua na uwezo nalo na anaponihitaji nakwenda...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Maneno huuma sana kuliko hata vipigo, je umeshawahi kumwambia mwenzako wako baadhi ya maneno yafuatayo? Najuta Kukuoa/Kuolewa na wewe ............................................
0 Reactions
144 Replies
21K Views
Habari zenu mabibi na mabwana.. si hofu kuwa mu wazima wa afya. jambo hasa lililonileta hapa mbele yenu ni kuhusu hili suala 'najua hii case ni sensitive, naomba twende nayo kwa lengo la...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habarini Jamvini leo naomba tulijadili hili suala ikiwezekana tutumie experience,skills na knowledge zote unazozijua kutuhabarisha kwa kufanya hivyo inawezekana ukasevu maelfu ya watu watakaona...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mimi ni mmojawapo wa wafatiliaji naona jamaa katuacha solemba.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom