Ng'egera
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 766
- 420
Wanajf kwanza nawasalimu,
Nina mpenzi wangu ninampenda sana,lakini yeye anakaa kwao na mimi niko kwetu,yeye hua akiwa na shida namsaidia lile nililokua na uwezo nalo na anaponihitaji nakwenda kumsikiliza,
Lakini toka tuanze kua wapenzi nikimwambia tutoke basi anaanza visingizio,nyumbani kuna wageni,mara napika basi ilimradi tu,
Lakini siku akikwambia leo tutoke basi ujue anashida na pesa nyingi,mkishaingia chumbani tu utamsikia ninashida na laki moja kesho kutwa elfu sabini sasa hapo nashindwa kuelewa hiki nini?