Dada zetu (Mamiss & Wanamziki) na Vibabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada zetu (Mamiss & Wanamziki) na Vibabu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kajuni, Jan 14, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  List ni ndefu kama kuna mwenye data anaweza mwanga hapa:
  1. Jacqline Vs Reginald M
  2. Rita Paulsen Vs Reginald M
  3. Mwanvita Makamba Vs............
  4. ..........................................
  5. ............................................
  6. .......................................... etc etc
  Hivi sababu ni nini?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sababu ni wao wanapenda.

  Sasa unachotaka kuonyesha hapo ni nini?
  Inakuhusu?Inanihusu?Kuna mtu humu inamhusu?

  Leta data zako wewe tukujadili achana na maisha ya watu.
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hujui na bado wajitia kujua!
   
 4. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Mbona LIZZY umekuwa mkali au nawe ni wale wale? una kibabu nini?
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Jibu maswala acha kunihusisha na mambo nisiyohusiana nayo.
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  listi ya watu wawili ndo ndefu? huo uzushi otherwise endelea kama wewe mwanaume
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Maisha ni kuchagua. hatutarajiwi kufanana...we unafikiri Jackline kawa na wangapi na kwanini kaamua sasa kutulia na Mzee Mengi??

  Mimi nikipata kibabu changu tukapendana na kuelewana, mie huyoooo wala sichagui cha kizungu au kiafrika....lol
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Umbea huu,....
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Hashy should read this.....
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  sababu wanazijua wao..
  to be honest is none of our business.....
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hey.....
   
 12. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Why? Halafu wewe, ipo siku yako tu....lol
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  My dear, it is our business oooh,hujaona Mange Kimambi alivyokuwa insipirational?? Siku hizi vibabu vingine hata kutemembea haviwezi ,watu tumo tu....lol...kaaaaazi kweli kweli....wanasema if you do not stand for something you will fall for anything....!!
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Wassup..??
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Inspirational for what exactly ...??
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​kipenda roho
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Marrying a white man, create a blog and advertise how happily ever after they live.....!!
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahah lol... tell you what Lizzy (yap DOTO) has a better I mean way better blog than Manges..
  Marrying to a white man.. WTF?? anyway I hardly go in her blog.. Full of crap to be honest..
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Please give me Lizzy's blog nikashinde huko kwa wenye akili.....unajua AD sometimes, mimi kama mtaalamu wa masuala ya jamii,nafanya utafiti kujua akili na attitude za watu wa kundi fulani likoje na mwelekeo ni upi na kama ni wa manufaa,mzuri au mbaya...sasa hizi blog zinanipa taarifa nyingi sana...and its interesting kwa kweli....kuna baadhi ya watu hata umalaya ni kitu kizuri as long as fulani alifanya na kwa muelekeo wa picha na maneno yake amefanikiwa..!
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Anyway I guess your right...
  yaani niko tayari ku sapport mtu malaya kuliko mtu mwenye "Madharau" ya hali ya juu..
  mtu ambae anatukana waafrica wenzake walio njee.. sababu tu anajiona yeye bora.. Labda niliingia kwenye hiyo blog siku mbaya
  na sjarudi tena.. ..

  anyway blog ya Lizzy hii hapa..
  alitolewa hata kwenye MIchuzi blogsport..

  WWW.MALKIASUN.BLOGSPOT.com
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...