Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwaka 2012 march nilihamishwa kikazi kutoka Dsm na kuletwa moja ya wilaya za mkoa wa morogoro, muda huo mke wangu alikuwa nyumbani mwanza. Katika pitapita zangu nikapata totozi la kipigoro ndo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana JF naomba mnisaidie ushauri coz nina tatizo ya njia gani nitumie ili kujikinga na mimba kwa muda huu wa masomo? Nimejaribu njia mbalimbali bt kila moja ni matatizo , hivi karibuni tu nimetoka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari ndugu, mimi na mchumba wangu tumedumu kwa miaka 8 sasa, hatukufunga ndoa kwa sababu ya kutaka kutimiza malengo ya kimasomo, mwenzangu amemaliza chuo mwezi wa sita mwaka huu na mimi ndo...
0 Reactions
99 Replies
9K Views
Mabinti hulilia sana kuolewa. Lakini wakiolewa tu vituko, Mara anawasiliana na x wake mara migogoro kulikoni?
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanadamu tunajifariji sana kwenye mahusiano. Umefahamiana nae akiwa mkubwa tu mkapendana, mkaaminiana basi unabwaga manyanga na kuona kuwa ni muaminifu na hawezi kukusaliti. Labda kama upo kwenye...
5 Reactions
146 Replies
12K Views
Kuna siku nikawa nataniana na mchumba wangu utani wa hapa na pale, sasa nikamtania kuwa anatakiwa ajipange nitamsugua mpaka atatembea kwa shida. Nikashangaa alicheka kicheko cha juu tena cha...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Hello people,kweeli hali ya kuingiliana kinyume na maumbile imekuwa kitu cha kawaida saana kwenye jamii ya ki Tanzania,chakusikitisha zaidi,wale walioelimika zaidi ndio wanaoshuhudia na kudai...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf. Naombeni msaada plz, mke wangu hana uwezo wa kunitambua nnapokuwa nimenyegeka, hata nikijaribu kumgusa na kumyegesha ni mkali, mpaka wakat mwingine zinanitoka na kuchafua...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Hey My brothers and Sisters out there. I am sorry for wasting a bit of your time if you don't mind i would like to use some of your time on this. My parents are celebrating their 25th year of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
http://www.mirror.co.uk/news/real-life-stories/woman-who-sex-dolphin-during-3665157 A woman who had sex with a dolphin as part of a scientific study has spoken out for the first time. During the...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Unamtumia Demu wako Watu wamtongoze eti ili UMPIME kama kweli ni Maharage ya Mbeya au Maharage ya Tandika Sokoni...Ubavu wenyewe wa kumuacha huna Shauri zenu,Mara umefanya Uspy wako uliyemtuma...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Jamani hizi ni zama za mwisho ambapo imani za wengi zinazidi kupoa kama ilivyoandikwa katika vitabu vitakatifu. Kuna baadhi ya watumishi wamekuwa si waaminifu kwa wanadamu na kwa Mungu wao pia sio...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Hivi kwanini inakuwaga ngumu kwa msichana kutongoza mwanaume! Ni desturi iliyojiweka kwamba mwanaume tu ndo aanze kwani huwa mnatufikiriaje nyie wanaume mkifatwa na njisia ya kike?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za muda huu wabunge wenzangu wa bunge tukufu la MMU, ningependa tushirikiane hii kitu hapa...... Wengi wetu tuko katika mahusiano ya kudumu na yasiyo ya kudumu na tumekutana na changamoto...
10 Reactions
116 Replies
17K Views
Habarini Leo tuzungumzie hilo kwenye kuhudumia familia ni nani Wa kwanza anaetakiwa kuwa mstali Wa mbele kwenye kutoa huduma kwenye familia Kuna familia nyingine mwanamke ndo anaehudumia...
0 Reactions
85 Replies
8K Views
Kuna wanawake wengi, wana umri mkubwa, kazi yao kudanganya umri ili viserengeti! Huyu nasikia alisingizia hadi mimba, jamaa akalea baadae akagundua haimhusu akasepa! Punguzeni hizo tabia...!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana MMU!! Nilikuwa nafanya udukuzi kidogo na nimekuta conversation hizi kwa simu ya wife kati yake na workmate mwenzio wa kiume. 1. "mambo wangu, leo umetoka au upo tu nyumbani" 2...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Wanabodi habari zenu. Kwa kifupi nina demu wangu anatatizo la kulowa papuchi yake kila akiniona.....Sasa nauliza huu ni ugonjwa au ni kitu gani? Wataalam mnisaidie kujua na ikiwezekana kutatua...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Natafuta msichana mrembo mwenye sifa hizi. 1.Awe mweupe au maji ya kunde. 2.Awe na umbo namba nane. 3.Asiwe mwembamba Sana. 4.Awe na miguu minene. 5.Awe amemaliza Four form mpaka chuo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Photo: JE UNA MUWASHO SEHEMU ZA SIRI BAADA YA KUMALIZA SIKU ZAKO? JE UNAPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA SIKU ZAKO? JE UNACHUBUKA SEHEMU ZA SIRI UKIWA KWENYE SIKU ZAKO? GLORY SANITARY NAPKINS GLORY...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom