Kweli wenye majina haya wanatabia hizo?

Kweli wenye majina haya wanatabia hizo?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,937
Eti ni kweli wenye majina haya wanatabia hizo?

0. JACQ => Huwa ni Mapepe hawajatulia...

1. PATRICIA => wote ni wapole but hupewa mimba ovyo ovyo...

2. DAMARI => wote huwa waZuri.

3. SARAH =>huwa na wanaume wengi....

4. MWAJUMA=>huwa wajuaji mbaya

5. JOYCE=> ni mafala kiasi.

6. ESTER=> hupenda Pesaa sana jiandaee watachop hizo pesa zako.

7. HELLEN=> wote ni ma player.

8. ANNE=> ni ma-drama queen.

9. Everlyne=> ni wanakuwaga wa cheshi

10. MAGRET=> ni wa-caring..sana wako lovely

11.VIOLA=>wanapenda sex hoo...

12.EDITH=>huwa ni watu waaminifu.

14.NORAH=>wanakuwa expensive.

15. SUSAN=>very romantic

16.Elizabeth=>co nervatives

17.Liz=>wanajua kung'ara poa sana.

18.ANGELINA=>Ni ngumu sana kuwapata hawa.

19.Rose=>hawa ni wachapa Kazii.

20.CARO=> Hawa huwa na mahasira tupu..

21.July/ janet=>wanapenda ndoa sanaaa...unalo

22.Sheryl=>huwa malazi hawaa jiangalie

23.Stacy=>huwa wanyanganyaji mabwana za watu...

24.Frida=>huwa wapishi wazuri sana...

25.Immaculate/ ivy=>huwa very economical hawa utawamudu..

26. MARIUM => Hao ni omba Upewe Ndugu...

27.REHEMA=>________

28.MWANAIDI=>________

29.FLORA => _______
30. IRENE
31.Pendo
32. Happy
33 Jesca
 
Mbona yote ni christian names,je na wat about muslims mwanahawa,mwanaidi,zuena,khadija,zainabu etc.
 
NR 11 uongo tena mzito

nr 19 ilibidi ikae 11 na 11 ikae 19

ICHANA kuja haraka...mtu anataka kuharibu siku
 
Last edited by a moderator:
NR 11 uongo tena mzitonr 19 ilibidi ikae 11 na 11 ikae 19 ICHANA kuja haraka...mtu anataka kuharibu siku
uuuuwi haijatulia hii kipenzi ikiwezekana tuandamane kuna no hazijatulia kabisa..sio za kweli
 
Last edited by a moderator:
Mkuu no 11 kama nimeilewa hivi nakumbuka secondary nlikuwaga nako kamoja
 
Chausiku
Pili
Tatu
Hawa wana asili ya uchawi
 
Back
Top Bottom