Mungu atupe jicho la tatu tuone jamani

kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
776
158
Naona kama mungu atupe na jicho la tatu yaani hali imeshakua mbaya sana. Yaani unamsomesha mtu alafu anakukimbia baada ya kumaliza masomo.

Tena anakwambia hajisikii tu kuwa na wewe, mapenzi ya sasa mashaka mashaka. Ukichunguza ukijua ukweli wa mwenzio yanaumiza haswa lakini ukiachwa ili yasikuumize unaonekana mzembe haswa.

Tungejua na jicho la tatu la kuona ndani ya mihoyo ya wenzetu ingesaida haswa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom