Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakaka Wa Kileo Kwa Asilimia Kubwa Sio Wawajibikaji,Mtu Hana Mikakati Ya Muda Mrefu Ya Kimaisha,Starehe Zimekuwa Miungu Yao.,Nawaomba Mbadilike Kwa Faida Ya Familia Zenu. Note:Na Wadada Wapo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Haka ka mtindo ka kukimbilia kwenye makanisa eti Kuna maombezi ya kupata mke au mume kameshamiri sana siku hizi. MTU anapuyanga kwenye ujana anakula bata bila kujitunza,anatumika na kuwa zaidi ya...
6 Reactions
58 Replies
8K Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31,elimu yangu ni degree moja,kazi yangu ni mwalimu ndani ya manispaa ya morogoro,kwa yeyote aliye tayari ani pm,awe mkweli,anayejua nini maana ya maisha,awe mcha...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wajameni Kama avatar ya lady in action ni picha yake halisi du! Nimetokea kumpenda natamani awe mke wangu
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Natafuta mchumba wa kike umri 24-28,awe na ajira mawasiliano 0788532307 niko Mbeya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikitika sana kuona ndugu zangu wengi mnapotea humu mmu kwa kuumiza kichwa kujua uzinzi na ngono. Maadili ya kiafrica yanaporomoka siku hadi siku. Mapenzi ni hali ya kukubaliana na...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Nikianza mimi nilisoma moshi tech nimemaliza koeti now nipo uraiani!
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Kama nitakuwa nimewakosea kwa hili jambo naombeni mnisamhe kwasababu sina nia mbaya ninataka tu kujua dada zangu. Leo wakati niko kwenye mkusanyiko fulani hivi ghafla dada mmoja amezima yani...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Nauliza mwenzenu pale mwanaume anapoomba msamaha mpaka machozi yanatoka huwa mnamaanisha au maigizo tu. Nimewahi kushuhudia mara nyingi katika situation tofauti,my hubby once sasa jana shemeji...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Sidhani kama huyu atakuwa kula kulala, huyu ni lazima atakuwa fighter ambaye atahakikisha anaipeleka familia yake kwenye level za juu kabisa. I salute you
0 Reactions
62 Replies
11K Views
Je wewe ni mtu wa kupenda ghafla, yaani mwanaume anapokutamkia kwamba anakupenda huwa unamuamini kwa kiasi gani, unakuwa ni mwepesi wa kumuamini na kujitoa kwa ajili yake au unakuwa na kujivuta...
12 Reactions
52 Replies
13K Views
Angalizo mnaohusika msipaniki.
13 Reactions
110 Replies
11K Views
Kuna watu wanawahudumia wanawake utadhani hawana ndugu au wamerogwa inafikia mahali mpaka unashangaa mbaya zaidi unakuta njemba inalipa fees kwa mwanamke wakati makids wa sister ake yupo mtaani...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Nexttt... Wanawake wa dijitali hamjielewi kabisaa... Hamjui kua mavazi yenu yanaweza kupandisha mzuka kabla ya ile ngoma ya tokomile kuanza.?! Utakuta unaenda kugegedwa unavaa mavazi ya...
6 Reactions
99 Replies
17K Views
Penye Mgogoro Pana Faida Na Hasara.Migogoro Ndiyo Wakati Mwingine Huibua Dhamira Kadhaa Na Hata Mafunzo Fulani. Je Wewe Mwanandoa Umejifunza Nini Katika Mgogoro Huo?? Hebu Mwaga Data Zako Hapa.
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari zenu wana MMU, Lipo neno la kiswahili lenye nguvu nyingi sana litumiwapo lakini kuna watu hawajui kulitumia. Niwape mandhari. Siku moja najiandaa kwenda matembezini nafungua geti niishie...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wabongo mbona tunakuwa mashujaa wa kupindua mambo. Hii kauli mbiu imekuwa moto kwa wapenda michupuko. Baada ya zomea zomea kuzidi wamekuja na kauli mbiu pinzani kwamba Njia kuu yako,mchepuko...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ifuatayo Ni Njia Ya Mtoto Wa Kike Kuirudisha Jinsia Yake Na Kuwa Kama Bikra: FANYA KAMA IFUATAVYO: Kila siku jioni oga saafii....... Chukua majani ya mchaichai mabichi na kipande nusu cha...
5 Reactions
124 Replies
98K Views
Ni binti niliyelala nae usiku wa kuamkia leo. Ni kawaida yangu lazima nitumie kinga ama tupime magonjwa kwanza kama tutamenya pipi. Huyu binti tulifanya mojawapo kati ya hayo niliyoyataja...
1 Reactions
75 Replies
19K Views
Baadhi ya Kina Dada warembo (si wote) wenye sura na maumbo ya kuvutia wanapumbazika sana na likes hits wanazopata kwenye mitandao ya kijamii Mara tu wanaporusha picha. Ikumbukwe kuwa Uzuri wa Sura...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom