Kumpenda kwangu ndo imekuwa sababu ya yeye kuniumiza

Trecy edson

New Member
May 17, 2014
3
0
Habari zenu jamani,

Am first mimi ni new member humu MMU ni ntafurahi zaidi endapo mtanipokea kwa mikono miwili na kuonesha ushirikiano wenu,na kubwa ni hili,nimetokea kumpenda kijana mmoja na tukakakubaliana tutajaoana.

Hivyo basi tukakubaliana kama kuna michepuko yoyote pembeni yetu tuachane nayo na tutambulishane kwa wazazi na mimi ni kafanya hivo,bt yeye hataki hata ndugu zake wanijue,kila niendapo kumsalimiaa kwake mama mwenye nyumba akiniita Mrs flani anachukiaaa,nikajaribu kufanya kauchunguzi na kubaini ana mwanamke mwingine nje kwani amekuwa na vijitabiaaa vya ajabu mara ajinunishe pasipo sababu,mara asipokee simu yangu wala kujibu mesegi zangu anazidi kunichanganya,na kumpenda nampenda saaana,naombeni ushauri nifanye nini juu ya huyu mtu jamani.
 

toccara

JF-Expert Member
Apr 17, 2014
543
225
kwanini mnapenda kuvumilia kitu ambacho umeshakiona kina kasoro? urafiki ni hivyo ndoa itakuwaje? ila ukumbuke ndoa siyo kuvaa shela tuu kuna maisha ambayo mpaka sasa huyo mwenzio hata yaweza
 

venine

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
1,384
2,000
Hebu edit kidogo post yako, weka nafasi kati ya neno na neno, pia si vibaya kama ukaedit na baadhi ya maneno yasiyoeleweka

Back to the topic... ana vijitabia vya ajaaaabu, na bado unampenda sana!!! lol
 

Tel Aviv

Member
May 22, 2014
62
95
kama unampenda kweli komaa naye mweleze hisia zako juu yake. Na pia umweleze alofanya sio jambo zuri hata kidogo akipenda kujua linavyokwathiri aligeuze kuwa kwa upande wake, kikubwa wewe ndie mwenye stamina ya kumrejesha njia kuu.
 

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,785
2,000
sasa sisi hapo tukushauri vipi wakati umesema hakupendi?ana michepuko!!kama vipi muundee kwa mganga
 

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,209
2,000
Wasichana bana hajakuoa bado anakutesa na kubwa zaidi unajua anachepuka na hana mpango wa kuacha still una mn'gang'ania unafikiri itakuwaje akikuoa?? Kumlazimisha kukupeleka kwa ndugu zake sio suluhisho unachotakiwa ni u-win moyo ukishindwa basi hakufai inabidi ufanye maamuzi magumu hata kama unampenda.
 

ICHANA

JF-Expert Member
May 10, 2012
4,780
2,000
tupa kule move foward.....
time will heal hajakuoa una michepuko,hakujali sasa hta hiyo picha hutaki kuamin??
ushachunguza na kujua ukweli

jitambue wewe wa dhamani sana utapata wa ubavu wako...

pole sana
 

bitunyi

Member
May 20, 2014
38
0
habar zenu jaman,am
first mm ni new member hum MMU n ntafurah zaid endapo mtanipokea kwa
mikono miwil na kuonesha ushirikiano wenu,na kubwa ni hili,nimetokea
kumpenda kijana mmoja na tukakakubaliana tutajaoana.Hivyo bas
tukakubaliana kama kuna michepuko yoyote pemben yetu tuachane nayo na
tutambulishane kwa wazan na mm ni kafanya hvo,bt yy hatak hata ndugu
zake wanijue,kila niendapo kumsalimiaa kwake mama mwenye nyumba akiniita
mrs flan anachukiaaa,nkajarib kufanya kauchunguz na kubain ana mwanamke
mwingine nje kwan amekuwa na vijitabiaaa vya ajab mara ajinunishe
pasipo sabab,mara asipokee cm yang wala kujib msg zang ko anazd
kunichanganya,na kumpenda nampenda saaana,naomben ushaur nifanye nn juu
ya huyu mtu jaman

Embu achana nae bhana,huyo hakupendi mpaka anakuoneshea kabisa.Mwanzo utakua mgumu lakini utazoea na utampata atakae kupenda mpaka ujutie muda wako ulioupoteza nae.Kumbuka unazungumzia ndoa yani huyo ndo utaishi nae milele kama sio muamini sasa ivi ata kwenye ndoa hamjaingia,mkiingia c atakuletea ukwimwi? Fanya maamuzi sahihi mdada,bora uumie sasa ivi kuliko kuumia maisha yako yote,.the choice is yours mrembo
 

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,180
2,000
habar zenu jaman,am first mm ni new member hum MMU n ntafurah zaid endapo mtanipokea kwa mikono miwil na kuonesha ushirikiano wenu,na kubwa ni hili,nimetokea kumpenda kijana mmoja na tukakakubaliana tutajaoana.Hivyo bas tukakubaliana kama kuna michepuko yoyote pemben yetu tuachane nayo na tutambulishane kwa wazan na mm ni kafanya hvo,bt yy hatak hata ndugu zake wanijue,kila niendapo kumsalimiaa kwake mama mwenye nyumba akiniita mrs flan anachukiaaa,nkajarib kufanya kauchunguz na kubain ana mwanamke mwingine nje kwan amekuwa na vijitabiaaa vya ajab mara ajinunishe pasipo sabab,mara asipokee cm yang wala kujib msg zang ko anazd kunichanganya,na kumpenda nampenda saaana,naomben ushaur nifanye nn juu ya huyu mtu jaman

Mtake awe na uamuzi mmoja juu yako, muachane au aachane na huko kwingine aendelee na wewe pekee!! Siku hizi maradhi mengi utajifanya unakomaa kumbe unakomalia ugonjwa hapo
 

payton

JF-Expert Member
May 1, 2014
398
250
Kisicho riziki hakiliki hata ufanyeje so u just move on muache tu kwan hata akikuoa atakutesa sana
 

bigger

Member
May 20, 2014
20
0
Kwa vle umeonesha kumpenda sana jaribu kutumia watu wake wa karibu kuongea naye ikishindikana jiepushe ipo cku utasahau maumivu yake.bado hujachelewa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom